M Mzawa Halisi JF-Expert Member Feb 25, 2009 639 368 Mar 4, 2012 #63 Pole sana kwako na wote walioguswa na msiba wa mwanao. Faraja ya MUNGU ikawe nanyi katika kipindi hiki kigumu.
Pole sana kwako na wote walioguswa na msiba wa mwanao. Faraja ya MUNGU ikawe nanyi katika kipindi hiki kigumu.
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Mar 4, 2012 #64 Pole sana mkuu we na familia yako.
Saharavoice JF-Expert Member Aug 30, 2007 3,887 2,384 Mar 4, 2012 #65 Pole sana Mh. Spika, Mungu akujaze Nguvu na pia Roho ya Mtoto wako ilale mahali pema peponi.
Mussa kiraka Senior Member Mar 4, 2012 106 13 Mar 4, 2012 #67 Pole sana spika. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon amen!
Mutta Senior Member Mar 24, 2011 101 11 Mar 4, 2012 #68 Pole sana kwa msiba ndugu yangu.Mungu akutie nguvu wewe na familia yako.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Feb 20, 2012 7,113 930 Mar 4, 2012 Thread starter #69 Mazishi ni saa 10 alasiri maana baadhi ya ndugu wanatoka mikoani!!! Kwahiyo mazishi ni saa10 alasiri pale banana kipunguni "a".
Mazishi ni saa 10 alasiri maana baadhi ya ndugu wanatoka mikoani!!! Kwahiyo mazishi ni saa10 alasiri pale banana kipunguni "a".
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Mar 4, 2012 #70 pole sana ndugu yetu Mungu akupe nguvu kwenye hiki kipindi kigumu
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 4, 2012 #71 spika said: Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga! Click to expand... Pole sana mkuu.Mungu akupe ujasiri
spika said: Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga! Click to expand... Pole sana mkuu.Mungu akupe ujasiri
Waberoya Platinum Member Aug 3, 2008 15,169 10,786 Mar 4, 2012 #72 Pole sana , Mungu akupe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Tupo pamoja
Tip Master JF-Expert Member Oct 17, 2011 490 532 Mar 4, 2012 #73 Pole sana,nawasihi wana jf mlio karibu na hapo dar mfike mkatuwakilishe
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Jul 3, 2007 5,520 2,091 Mar 4, 2012 #74 Pole sana kwa msiba mzito...
Lokissa JF-Expert Member Nov 20, 2010 7,446 2,490 Mar 4, 2012 #75 spika pole sana mungu awatie nguvu.
M mtukwao2 Senior Member Dec 23, 2011 129 16 Mar 4, 2012 #76 pole sana mkuu Mungu amlaze pema peponi amin!
S Shansila Senior Member Jan 28, 2012 189 36 Mar 4, 2012 #77 Lol pole sana mkuu,shetani mbaya sana!anatuchukulia mpiganaji wetu mtarajiwa ktk umri mdogo!too sad lkn jipe moyo!
Lol pole sana mkuu,shetani mbaya sana!anatuchukulia mpiganaji wetu mtarajiwa ktk umri mdogo!too sad lkn jipe moyo!
majonzi Senior Member Sep 25, 2007 176 22 Mar 4, 2012 #78 Pole sana kiongozi, sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi
Mihayo JF-Expert Member Apr 12, 2010 268 63 Mar 4, 2012 #79 pole sana mkuu. Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuhimidi msiba huu mzito. Amen
pole sana mkuu. Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuhimidi msiba huu mzito. Amen
RedDevil JF-Expert Member Apr 30, 2009 2,367 1,520 Mar 4, 2012 #80 Too sad! pole sana mkuu, mungu awape nguvu ya kukabiliana na simanzi hili! RIP mtoto.