Ndg Spika, pole kwa msiba Mungu akupeni faraja wewe na familia yako katika kipindi hiki kigumu. Iwe imara na mioyo mikuuu mkifarijiana ninyi kwa ninyi maana
hayo ni mapenzi ya Mola wetu.
ndg.spika unapitia kipindi kigumu ktk maisha,mtoto ni zawadi ila muumba kaichukua.ninakupa pole ya dhati ndugu yangu nakuombea mwenyezi mungu akupe moyo wa uvumilivu na utulivu ktk kipindi hiki kgumu kwako.nimeipokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii kama mzazi ninaejua uzuri wa watoto ktk kaya.mungu akutie nguvu!!
"Sisi sote ni wa Mungu na hakika kwake tu ndio marejeo yetu."
MwenyeziMungu atakutieni nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
Poleni sana na muwe wavumilivu na kumshukuru Mungu kwa yote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.