Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 868
Pole sana mkuu
Assalamu Alaikum
Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
"Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake"
"Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah"