Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
Hata wewe utaichukia tu ngoja wakukatie hiyo " life line" unayoitegemeaHata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
. Sikushangai, hata Yesu mmempachika uungu asio nao.nawe msalimie sana huyo Mungu wenu, anayetaka kusujudiwa na kila mtanzania! wengine si wa kuburuzwa buruzwa
Wewe bibi mwehu nini! Yesu anahusikaje hapo kwenye malumbano yenu?. Sikushangai, hata Yesu mmempachika uungu asio nao.
Upunguani tu huo si zaidi.
Inategemea mkuu, mtu kiwango chake cha aibu kikifikia point flan kiasi kwamba yeye mwenyewe anajionea aibu hapo lazima abreakout.lazima uwe na mashaka kwasababu watu ambao wamekomaa kisiasa huwa hawatapi tapi hovyo!!!!
Wewe bibi mwehu nini! Yesu anahusikaje hapo kwenye malumbano yenu?
endelea kuridhika na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, wengine sio makondoo wa kukubali ujima wa aina hii
Hakuna kilichominywa, mashtaka yako wazi kabisa na kama unaongelea Melo basi amepewa haki ya kujitetea mahakamani.
Au mahakama hizo hamziamini mpaka pale anaposhinda Lissu na Bulaya?
Kuna uteuzi kule, are you happy?Tusalimie huko uendako.
Mliozowea vya kunyonga mtapukutika mmoja mmoja.
Hatukumshangaa Kingunge tutakushangaa wewe?
Huwashi huzimi.
Ni ccm anaye jitambua sio zuzu kama ww.mbona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
endelea kushabikia ujima! werevu tumejiweka kando!Hakuna kilichominywa, mashtaka yako wazi kabisa na kama unaongelea Melo basi amepewa haki ya kujitetea mahakamani.
Au mahakama hizo hamziamini mpaka pale anaposhinda Lissu na Bulaya?