Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
Tupage na tathimini ya miaka miwili hii inayokaribia kuisha....
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Plus 15
 
Hiyo namba 2 ni wapi ulikuwemo CCM na ukashuhudia uwepo wa demokrasia?

Na ni wapi unahisi utakwenda kuipata hiyo demokrasia unayoiota?
 
Hama mkuu huko hakuna sera ni kutumbuana tu na nchi sijui maendeleo tutafanya muda gani
 
Salamu wanajamiiforums
Binafsi nimevumilia sana hadi nimechoka niliposikia suala la makonda na madawa nilifurahi sana lakini baadae likageuka kama ajenda ya kuchafuana
Binafsi nilihisi makonda anaua chama
Nilivumilia hilo baadae likaja la vyeti nikaanza kuhisi tofauti nikadhani ni uzushi tu
Baadae ya wema kuhama ndo likanichanganya kbs akili yangu kitendo cha makonda kuivamia clouds ndo liliniuma sana binafsi niliwaza mheshimiwa rais mzalendo angempumzisha makonda lakini ndo kwanza akamuongezea makali
Nimehamanika sana
Nimeumia sana
Nimefedheheka sana kubaki ccm
Na hili la mkuu kubadilisha katiba ya chama ili atawale milele limeniudhi mno maana nakumbuka pale mkutanoni dodoma watu wote walilipinga yeye alitumia.nguvu na vitisho
La nape mnauye hili ndo limenifanya nihame ccm mazima yaani nape ndo alokipatia ushindi chama cha.mapinduzi leo kisa makonda anadhalilishwa na bastola na kutishiwa na manyangau wa makonda
Ndo maana nimehama ccm chama kimepoteza mwelekeo
Mzee kinana yupo ndani mpaka sahivi naomba aachiliwe huru free kinana
Haiwezekani kinana kasotea ndani mpaka sahivi aliitisha press conference
Watanzania mnisamehe wote mloniona mbaya au nilowakashifu nikiwa ccm nisameheni sana
Nchi imepoteza dira kwa sasa Nchi imegeuka mipasuko kila kona ccm imekua ya mkuu na makonda
Binafsi imeniuma sana nchi mtu.mmoja anapendelewa hata akiua anaachwa
CCM niliipenda sana ila ndo hivyo imekua ni huzuni na msiba kwa wanaccm wengi na watanzania
Jamani watanzania wenzangu pazeni sauti mzee kinana aachiliwe
Imeniuma sana kiukweli
Kuanzia leo mm sio ccm nimehamia ukawa ambapo ukweli na haki imetamalaki
Ahsanteni
 
Salamu wanajamiiforums
Binafsi nimevumilia sana hadi nimechoka niliposikia suala la makonda na madawa nilifurahi sana lakini baadae likageuka kama ajenda ya kuchafuana
Binafsi nilihisi makonda anaua chama
Nilivumilia hilo baadae likaja la vyeti nikaanza kuhisi tofauti nikadhani ni uzushi tu
Baadae ya wema kuhama ndo likanichanganya kbs akili yangu kitendo cha makonda kuivamia clouds ndo liliniuma sana binafsi niliwaza mheshimiwa rais mzalendo angempumzisha makonda lakini ndo kwanza akamuongezea makali
Nimehamanika sana
Nimeumia sana
Nimefedheheka sana kubaki ccm
La nape mnauye hili ndo limenifanya nihame ccm mazima yaani nape ndo alokipatia ushindi chama cha.mapinduzi leo kisa makonda anadhalilishwa na bastola na kutishiwa na manyangau wa makonda
Ndo maana nimehama ccm chama kimepoteza mwelekeo
Mzee kinana yupo ndani mpaka sahivi naomba aachiliwe huru free kinana
Haiwezekani kinana kasotea ndani mpaka sahivi aliitisha press conference
Watanzania mnisamehe wote mloniona mbaya au nilowakashifu nikiwa ccm nisameheni sana
Nchi imepoteza dira kwa sasa Nchi imegeuka mipasuko kila kona ccm imekua ya mkuu na makonda
Binafsi imeniuma sana nchi mtu.mmoja anapendelewa hata akiua anaachwa
CCM niliipenda sana ila ndo hivyo imekua ni huzuni na msiba kwa wanaccm wengi na watanzania
Jamani watanzania wenzangu pazeni sauti mzee kinana aachiliwe
Imeniuma sana kiukweli
Kuanzia leo mm sio ccm nimehamia ukawa ambapo ukweli na haki imetamalaki
Ahsanteni

Mbona ulichelewa!! Ukawa ndo chama gani?
 
ACHA UNAFIKI utatuthibitishia vipi wewe ni mwana CCM????......inawezekana hata ukawa ni M/KITI hapo ufipa....
 
Hongera sana, tunakukarisha kwa furaha kubwa na pia itakuwa vizuri ikiwa utakuja na marafiki zako.
 
Umeongea kwa uchungu sana. Pole sana.. na Bado watahama wengi sana.. Ngoja Kinana atoke ndani.
 
Back
Top Bottom