Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

U better go kabisa...hatutak mambruki ndani ya ccm, kuondoka kwako wala hukuwezi nyumbisha jambo lolote...maana hata bwana yule alivyoondoka wengi walifikir ccm itakufa...but ndyo kwanza mpya kabisa. Kila la heri mkuu z door is open
"Mambruki"= mamluki? wee mrundi rudi ulikotoka na nkurunzinza wako!
 
Hadi leo ulikuwa gizani? wajanja tulishasoma alama za nyakati siku nyingi sasa tupo huru!
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
vi.umesahau na sasa hakuna ajira kwa masomo ya sanaa(arts) mnatakiwa wote wana sayansi tu,
Af dede umenichekesha ,unajitoa leo,baada ya kuona mkuki umegeuka unachoma na mwako pia binadamu,ulipokuwa unachoma nguruwe ulikuwa unaona rahaaaaaaaaaaaaaaa,la,na pia umeona namba 6 ikiwa katikati ya wewe na mwezio inasomeka 9,9 inasomeka 6?,af utashangaa unatafuta chama kingine at ujiuunge,vyama vyote,vimejaa moja ya mantras hizo ulizotaja;mf,cdm ukabila sana,angalia safu ya uongozi yote hadi viti maalumu,cuf pia kwa sana,sisiem,udini,ukabila,ukanda hapo ongeza utawala wa kinepo,(nepotism),wenzako tupo kwenye PH7
 
CCM IKO IMARA HATA MKIONDOKA
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Jitoe na cdm hawakutaki mwenye ndimi mbili
 
Maisha magumu? Kumiliki biashara ya sembe (monopoly),? Njaa ? Mikataba ya kingese? Udini? Ukabila uliokithiri? Udini uliokithiri? ..
 
Jamaa zetu hawataki hilo
Kunachowaponza wengi wetu ni kauli maana wengine wanatamka maneno ambayo ni ya kiuchochezi na hawawezi kukubali kurekebisha kauli zao sasa hapo ndo huleta shida na matokeo yake ni lawama.
 
v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Kwenye hili namba V, ndio ameshanikera kabisa sizonje. Anakuwa kama alisubiri miaka mingi kuleta ubaguzi huu.
 
ni shedah
 
Back
Top Bottom