Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

chama chetu cha mapinduzi kimekuwa kama kundi la wahuni hakuna tena sheria mara leo mwenyekiti anabadili katiba ili asipate upinzani 2020 hatujakaa sawa anatokea mwingine kuchafua image ya chama kwa kuvamia chombo cha habari na siraha za kivita na bado mwenyekiti anamlinda kwa gharama yeyote!
 
Kwanza katubu dhambi ya kushabikia hicho chama! Pia omba radhi kwa ndugu, jamaa na marafiki na waanzania wote!!
 
Salamu wanajamiiforums
Binafsi nimevumilia sana hadi nimechoka niliposikia suala la makonda na madawa nilifurahi sana lakini baadae likageuka kama ajenda ya kuchafuana
Binafsi nilihisi makonda anaua chama
Nilivumilia hilo baadae likaja la vyeti nikaanza kuhisi tofauti nikadhani ni uzushi tu
Baadae ya wema kuhama ndo likanichanganya kbs akili yangu kitendo cha makonda kuivamia clouds ndo liliniuma sana binafsi niliwaza mheshimiwa rais mzalendo angempumzisha makonda lakini ndo kwanza akamuongezea makali
Nimehamanika sana
Nimeumia sana
Nimefedheheka sana kubaki ccm
La nape mnauye hili ndo limenifanya nihame ccm mazima yaani nape ndo alokipatia ushindi chama cha.mapinduzi leo kisa makonda anadhalilishwa na bastola na kutishiwa na manyangau wa makonda
Ndo maana nimehama ccm chama kimepoteza mwelekeo
Mzee kinana yupo ndani mpaka sahivi naomba aachiliwe huru free kinana
Haiwezekani kinana kasotea ndani mpaka sahivi aliitisha press conference
Watanzania mnisamehe wote mloniona mbaya au nilowakashifu nikiwa ccm nisameheni sana
Nchi imepoteza dira kwa sasa Nchi imegeuka mipasuko kila kona ccm imekua ya mkuu na makonda
Binafsi imeniuma sana nchi mtu.mmoja anapendelewa hata akiua anaachwa
CCM niliipenda sana ila ndo hivyo imekua ni huzuni na msiba kwa wanaccm wengi na watanzania
Jamani watanzania wenzangu pazeni sauti mzee kinana aachiliwe
Imeniuma sana kiukweli
Kuanzia leo mm sio ccm nimehamia ukawa ambapo ukweli na haki imetamalaki
Ahsanteni
Utahama peke yako tu.mumeo hawezi manake anajua CCM inayokuja ni ya wasafiiiiii
 
mkuu jifunze kuandika vizuri...pengine ulikuwa na ujumbe mzuri, ungekaa ungeturia...ujembe ungeeleweka sana aisee.....ila hongera kwa uamuzi wako mkuu
 
Mrema, Kingunge, Lowassa, Sumae, Masha wote walihama CCM na chama bado kinaimarika...sembuse na wewe mwanachama hewa ambae hujui hata kadi ya chama inafananaje?
hahhahahhahahah eti eeh damage ya 2015 mpaka mnafuta uchaguzi impact hamjaiona tu???
 
Salamu wanajamiiforums
Binafsi nimevumilia sana hadi nimechoka niliposikia suala la makonda na madawa nilifurahi sana lakini baadae likageuka kama ajenda ya kuchafuana
Binafsi nilihisi makonda anaua chama
Nilivumilia hilo baadae likaja la vyeti nikaanza kuhisi tofauti nikadhani ni uzushi tu
Baadae ya wema kuhama ndo likanichanganya kbs akili yangu kitendo cha makonda kuivamia clouds ndo liliniuma sana binafsi niliwaza mheshimiwa rais mzalendo angempumzisha makonda lakini ndo kwanza akamuongezea makali
Nimehamanika sana
Nimeumia sana
Nimefedheheka sana kubaki ccm
La nape mnauye hili ndo limenifanya nihame ccm mazima yaani nape ndo alokipatia ushindi chama cha.mapinduzi leo kisa makonda anadhalilishwa na bastola na kutishiwa na manyangau wa makonda
Ndo maana nimehama ccm chama kimepoteza mwelekeo
Mzee kinana yupo ndani mpaka sahivi naomba aachiliwe huru free kinana
Haiwezekani kinana kasotea ndani mpaka sahivi aliitisha press conference
Watanzania mnisamehe wote mloniona mbaya au nilowakashifu nikiwa ccm nisameheni sana
Nchi imepoteza dira kwa sasa Nchi imegeuka mipasuko kila kona ccm imekua ya mkuu na makonda
Binafsi imeniuma sana nchi mtu.mmoja anapendelewa hata akiua anaachwa
CCM niliipenda sana ila ndo hivyo imekua ni huzuni na msiba kwa wanaccm wengi na watanzania
Jamani watanzania wenzangu pazeni sauti mzee kinana aachiliwe
Imeniuma sana kiukweli
Kuanzia leo mm sio ccm nimehamia ukawa ambapo ukweli na haki imetamalaki
Ahsanteni

Ni heri ukabaki bila chama, vyama vyote ni usanii tu hakuna jipya. Mimi na ccm nilikua damdam,na nikajua huyu m.s.u.k.u.m.a ataikomboa nchi, sasa ndio anaharibu kabisaa na hakubali ushauri wowote, anafanya anavyojisikia yeye. Hili linchi ***** nimetoka kulichukia, juzi kati hapa wameenda kumkamata muhindi wa watu yusuf manji wangefikiria kwanza kabla ya kuchukua uamuzi. Huyu muhindi kaajiri watanzania wangapi? Sio chini ya 3000 kaajiri, wote hao wameshakosa ajira na wamekaa tu..huu ni upumbavu li-nchi linaendeshwa kimababe ***** sina hamu. Bora nikae bila chama, na ikiwezekana nitahama hili li-nchi.
 
chama chetu cha mapinduzi kimekuwa kama kundi la wahuni hakuna tena sheria mara leo mwenyekiti anabadili katiba ili asipate upinzani 2020 hatujakaa sawa anatokea mwingine kuchafua image ya chama kwa kuvamia chombo cha habari na siraha za kivita na bado mwenyekiti anamlinda kwa gharama yeyote!

Hili li-nchi kwishaa, tutammis sana Jakaya na Mkapa
 
Siku hizi watu wanatumwa kutibiwa.
Hayo ndiyo maajabu makubwa ya serikali ya awamu ya 5!

Tulimsikia wenyewe Mkulu Jana akitueleza kuwa amemtuma Kinana kwenda India kwa matibabu!

Hivi kumbe mtu haendi hospitali kwa kuumwa Bali kwa kutumwa na Bosi wake!?

Hayo maajabu yanapatikana TZ pekee!
 
Back
Top Bottom