Hiyo sehem yenyewe ya biashara kuna poorest to the infinixy infrastructure.Majengo marefu sio maisha Bora mkuu.Mnaoishi dar mbona tunalipa kilio kimoja😂😂😂
Kikubwa angalia,je familia nyingi Zina nyuma zenye hadhi.
Sio mjini kati,bali pembezoni mwa mji.
Mjini kati ni sehemu za biashara.
Sikatai.Kuna kijiji kimoja Njombe(kindengyembe njia ya kwenda lupembe) kina maendelo mazuri ukilinganisha na vijiji vingi bongo
Acha ujinga,mbona Tabora ni nzuri kabisa.Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Sawa,kikubwa je population ipo.Hiyo sehem yenyewe ya biashara kuna poorest to the infinixy infrastructure.
Vp ulifika Terros point?Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ili sehemu ijazane watu lazima kuwa kuna mazingira vutishi(pulling factors),ambapo ongezeko la watu litaleta hitaji la huduma na kuchochea shughuli za kiuchumi na shughuli za kiuchumi kuchochea ukuaji wa makazi na miundombinu mengine.Sawa,kikubwa je population ipo.
Kwa maana biashara lazima kuwe na watu.Na watu ndo wateja mkuu.
Kikubwa ni biashara Gani umeplani kufungua.
Lakini ukiangalia eti majengo marefu na mapya hakuna🤔.
Majengo yanaweza kuwepo flemu zake ukashindwa kuyamudu mkuu kulingana na mtaji uliokuja nao.
Mkuu kwani ilikuwa imekuja na plani ya biashara Gani hapa Mboka manyema! L.Ili sehemu ijazane watu lazima kuwa kuna mazingira vutishi(pulling factors),ambapo ongezeko la watu litaleta hitaji la huduma na kuchochea shughuli za kiuchumi na shughuli za kiuchumi kuchochea ukuaji wa makazi na miundombinu mengine.
Tabora hakuna mazingira vutishi,unipeleke Tabora besides ajira nini nitafanya??
Mie sijawahi kufika huko Mboka manyema kaka, mie ni mnyamwezi wa Ndevelwa,nimekaa kwa muda Ndevelwa,Ipuli Nzega basi.Mkuu kwani ilikuwa imekuja na plani ya biashara Gani hapa Mboka manyema! L.
Mpaka uone kwamba hapafai
Mbona Dar Kuna uswahili na imebadilika? Aliyekwambia Tabora haibadiliki nani? Unaemsikiliza huyo tapeli ameamua tuu kuchangamsha genge🤣🤣🤣 Tabora ni mji wa kikoloni,mji mkongwe,uswahili mwingi ndomana haubadiliki miaka nenda Rudi
Pole ndo mboka ya manyema hiyooo
Wewe kajamaa una elements za ubishi Kila kitu.Mie sijawahi kufika huko Mboka manyema kaka, mie ni mnyamwezi wa Ndevelwa,nimekaa kwa muda Ndevelwa,Ipuli Nzega basi.
Na safari zangu nimejaribu kuzunguka mjini Tabora ila kaka sijaona vishawishi vya kunifanya nibaki Tabora.
Toka Tabora nenda mfano Morogoro kesha uniambie wapi patavutia mtu kuanzisha maisha.
Morogoro pana pull factors nyingi kuliko hata DODOMA.
Naunga mkono hoja.Hao kenge wanaahindwa kujua kwamba pesa za Mikoa yote Tanzania Zinaenda kujenga Dar na Dodoma na Arusha harafu wanaongea shit.Ndio mana tuliona bora tuwe na serikali za majimbo kila mapato yetu yanakuja kuboresha jiji lenu kwa nini?Mapato ya tumbaku ,asali ,na mpunga pia mazao ya misitu yabaki kuijenga mboka manyema.
Ndugu nimesoma Tabora enzi hizo Warsaw...girlziaMbona Dar Kuna uswahili na imebadilika? Aliyekwambia Tabora haibadiliki nani? Unaemsikiliza huyo tapeli ameamua tuu kuchangamsha genge
Kwa hiyo wewe tumbuli unataka kusema Tabora ya wakati unasoma ndio ya Sasa? Barabara za mitaa Zenye lami na taa za Barabarani zilikuwepo hapo Mjini?Ndugu nimesoma Tabora enzi hizo Warsaw...girlzia
Nimefanya kazi Tabora since 2020,nimehama huko Sept last year...so I know mboka manyema👌
Hao Huwa wanaropoka tuu,Tabora ni Kati ya Miji 10 yenye idadi kubwa ya Watu Tanzania.tabora mji mdogo kwa kigezo gani maana ndio manispaa ya kwanza Tanzania mkuu.
Huwa sijibu watu waliotoroka mirembe🤣🤣🤣Kwa hiyo wewe tumbuli unataka kusema Tabora ya wakati unasoma ndio ya Sasa? Barabara za mitaa Zenye lami na taa za Barabarani zilikuwepo hapo Mjini?
Hayo majengo marefu ya Gorofa yalikuwepo hapo Mjini? Vyuo Vikuu kama SAUT kilikuwepo? Lami za kulinganisha na Dodoma,Tabora na Mpanda zilikuwepo?
Kadanganye wajinga wenzako
Mnakopenda Chadema tuonesheni maendeleo waliyowaletea.Huko kuna mamwinyi, kuna wapenda ccm kindakindako.
Penda ccm penda umaskini.