Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Kiufupi akili huna ila unajikutaga unazo mbele ya wapumbavu wenzako.

Morogoro Ina umeme wa grid miaka Mingi Tabora hakuna.Viwanda vya Tumbaku vya Morogoro maligjafi Inatoka Tabora na Mpanda ,kiwanda kilijengwa Moro Kwa sababu kukikuwa na umeme wakati huo Tabora na Mpanda hakuna umeme.

Nimekutajia Barabara za lami zimekuwepo Morogoro na Dar na Moto na Dom,Moro na Arusha,Moro-Mbeya miaka Mingi sana wakati huo sio Dodoma Wala Tabora Ina lami.

Yet ulivyo na bichwa gumu ulitegemea Growth rates ya Miji ilingane?

Aliyekudanganya kwamba Kuna Mkoa hauna fursa nyingi hapa Tanzania ni nani? Kama Tabora Haina fursa Kwa nini Ina attract watu wengi kuhamia na kuzaliana Kwa Kasi?

Unazungumza masoko wapi ambako masoko hayajengwi? Na in fact Kwa Dom Kwa mfano Kunajemgwa masoko mengi kuliko Morogoro.

Tabora penyewe Serikali inatarajia kuanzia ujenzi wa soko na stendi.kubwa mwaka huu ,yote hii ni kutokana na mahitaji Kwa sababu Mji unakua.

Kuwa na akili usiwe punguani wa kukariri mambo na kutojua uhalisia na historia.
Ona huyu falaaa.
KUtaja fursa za Moro kwani ndio inamaanisha mikoa mengine haina fursa???
HIyo Dodoma ni kwasababu ni mji wa kiserikali ndio maana unaendelezwa ila muulize mtu wa kibaigwa kati ya Mkundi na Kibaigwa wapi kuna fursa kuzidi?
HUjaambiwa kama Tabora hakuna fursa bali Tabora kuna potential finyu.
Maendeleo ya raia mmoja mmoja Morogoro ni mepesi kuliko Tabora.
Ndio maana miji yao hutanuka haraka.
Chanzo sio umeme peke yake au hizo barabara.
Embu fuatilia vijiji vya ndani kama Matombo,Mkuyuni,Kisaki,Mvuha hivyo ni vijiji vya ndani sana ila kulingana na huko kuna shughuli za kiuchumi na fursa nyepesi kumejengeka nyumba sawa na za Ipuli mjini.
Bimaana maendeleo yanaanza na wewe kabla ya serikali haijaja kukuwekea miundombinu wezeshi ya wewe kuendelea kusalia pale.
AU unataka kusema hadi nyumba za kulala WANAJENGA SERIKALI????
NAONGEA NA JITU SENGE HATA HALIELEWI.
BAKI NA UFALA WAKO
 
Hivyo unavyoita Vijiji vya ndani vilikuwa na reli ya Tazara,Kwa nini usitaje Vijiji choka mbaya vya huko Gairo,Kilosa na Mvomero ndani ndani?

Kwa taarifa Yako tuu hakuna Mkoa sijafika hapa Tanzania na maeneo mengi ya ndani ndani nayajua.

Nani aliyekudanganya kwamba Tabora Kuna potential finyu? Au wewe ndio una ufinyu wa akili za kuona fursa?

Narudia tena kukwambia hakuna Mji Tanznaia hii umekua au utakuwa bila Nguvu ya Serikali haupo.Ni.lazima Serikali ifanye uwekezaji wa makusudi Ili kufungua fursa.

Ndio maana baada ya kuifungua Mkoa wa Tabora Kwa Barabara kuu za lami Mji umeanza kukua sana tuu sawa na maeneo mengine ambayo yalikuwa hayana miundombinu ila baada ya kuwekwa yanafunguka kiuchumi.

View: https://youtu.be/QgySjTbWCGI?si=pDLSwCQagWiHegrB

So punguza ujinga,hakuna Mkoa wowote Tanzania hii una fursa finyu kuanzia Madini Hadi Ardhi ya Kilimo.
 
ARE YOU KIDDING ME??
MATOMBO,MKUYUNI NA KISAKI TAZARA IMETOKEA WAPI KIJANA??
HAKUNA RELI KULE WE JAMAA SIO TRC WALA TAZARA INAYOPITA HAYO MAENEO.HATA LAMI HAKUNA HAYO MAENEO NILOTAJA.
Kwa kusema tu Matombo,Mvuha,Kisaki,Mkuyuni kuna reli nishakutoa akili.
Sina mjadala na wewe unabisha bure hujatembea we jamaa.
Au niletee ushahidi wa hiyo reli ya TAZARA inayopita Matombo.
Kijana kijana bisha na uendelee kubisha.
Au labda nikuulize,ARUSHA NA MWANZA ZINAFANANA KWA POTENTIALS??
Ukiweza kujibu hilo swali nitaamini umekua kidogo.
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari

Vipi mkuu habari za Dubai?
 
ARE YOU KIDDING ME??
MATOMBO,MKUYUNI NA KISAKI TAZARA IMETOKEA WAPI KIJANA??
HAKUNA RELI KULE WE JAMAA SIO TRC WALA TAZARA INAYOPITA HAYO MAENEO.HATA LAMI HAKUNA HAYO MAENEO NILOTAJA.
Kwa kusema tu Matombo,Mvuha,Kisaki,Mkuyuni kuna reli nishakutoa akili.
Sina mjadala na wewe unabisha bure hujatembea we jamaa.
Au niletee ushahidi wa hiyo reli ya TAZARA inayopita Matombo.
Kijana kijana bisha na uendelee kubisha.
Au labda nikuulize,ARUSHA NA MWANZA ZINAFANANA KWA POTENTIALS??
Ukiweza kujibu hilo swali nitaamini umekua kidogo.
Kuna Mkoa hauna Vijiji vilivyochangamka ikiwemo Tabora ? Kisaki hakuna reli ya TAZARA?
 
Miji yenye idadi kubwa ya waislamu imetelekezwa, mbali na Dar 👇

Refer
Tanga
Tabora
Kigoma
Bagamoyo na pwani yote.
Singida ina afadhali
Bukoba
 
Hivyo unavyoita Vijiji vya ndani vilikuwa na reli ya Tazara,Kwa nini usitaje Vijiji choka mbaya vya huko Gairo,Kilosa na Mvomero ndani ndani?

Kwa taarifa Yako tuu hakuna Mkoa sijafika hapa Tanzania na maeneo mengi ya ndani ndani nayajua.

Nani aliyekudanganya kwamba Tabora Kuna potential finyu? Au wewe ndio una ufinyu wa akili za kuona fursa?

Narudia tena kukwambia hakuna Mji Tanznaia hii umekua au utakuwa bila Nguvu ya Serikali haupo.Ni.lazima Serikali ifanye uwekezaji wa makusudi Ili kufungua fursa.

Ndio maana baada ya kuifungua Mkoa wa Tabora Kwa Barabara kuu za lami Mji umeanza kukua sana tuu sawa na maeneo mengine ambayo yalikuwa hayana miundombinu ila baada ya kuwekwa yanafunguka kiuchumi.

View: https://youtu.be/QgySjTbWCGI?si=pDLSwCQagWiHegrB

So punguza ujinga,hakuna Mkoa wowote Tanzania hii una fursa finyu kuanzia Madini Hadi Ardhi ya Kilimo.

Kilosa ina reli ya TRC na hata reli ya umeme imepita Kilosa.
Mvomero kuna shughuli nyingi za kilimo labda hukufika unapasikia.
Gairo kuna uchimbaji mkubwa wa madini na uvunaji mkubwa wa mbao.
 
Kuna Mkoa hauna Vijiji vilivyochangamka ikiwemo Tabora ? Kisaki hakuna reli ya TAZARA?
Uchangamkaji wa Vijiji vya Morogoro usifananishe na wa vijiji vya Tabora.
Unaizungumzia hiyo reli ambayo ina ufanisi mdogo sana sawa na bure na inapita pembezoni mwa wilaya ya Kisaki??
Si bora hata reli ya kati inapita katikati ya vijiji vya Kilosa??
Huwezi kuwa serious.
 
Miji yenye idadi kubwa ya waislamu imetelekezwa, mbali na Dar 👇

Refer
Tanga
Tabora
Kigoma
Bagamoyo na pwani yote.
Singida ina afadhali
Bukoba
Bukoba sidhani kama kuna idadi kubwa ya waislam kaka.
Kule si naskia wakristo wengi?
 
Wewe kajamaa una elements za ubishi Kila kitu.
Kwa hiyo Tabora hakuna maisha au watu hawaishi? Kipi Cha maana hapo Morogoro hakipo Tabora?

Tabora Kwa Sasa imeunganishwa na lami pande zote,Je zamani zilikuwepo? Hujaona Mji umekua? Ni kweli Tabora hakuna nyumba Mpya? Viwanja vya starehe havipo? Magorofa mapya mjini hayapo?
Usifananishe na moro na vitu vya hovyo....Moro kuanzia hali ya hewa na ardhi yenye rutuba.mm ni msukuma lakini sehem nazo zipenda ni Mwanza,moro na dar mbeya nayo naikubali ila si kivile
 
Watoto wa mama kizimkazi mnatukanana sana bishaneni kwa hoja mbona mnazo wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom