winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 335
Sasa 6M , ndiyo yakukatisha tamaa, jikaze pambana , kama huna mwambie anayekudai huna utampa wakati mwingine, kama una vitu hutumii uza uwalipe , lakini milioni sita haipaswi kukuletea mawazo kiasi hiko.Jumla zinafika 6million.