Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,795
- 9,764
Umri wakoJumla zinafika 6million.
Umri wakoJumla zinafika 6million.
Milion 13 wanakukata ngapiMimi nadaiwa million 13..
Ila nakatwa kila mwezi so hainihumi sana maana Toka nianze kufuga KUKU na enjoy sana nakupa ukweli wana faida asikudaganye mtu Mimi shuhuda
Ela yakawaida hiyo pambana uilipeJumla zinafika 6million.
Ameze na lineToroka mkoa utakufa ww
Hizo chacheJumla zinafika 6million.
Imeisha hiyoUnatembea na fursa mkuu....Mimi ni ke
Umemshauri vyema, hayo madeni inabidi ayacancel yote na njia rahisi ni kukimbia mkoa/mahali alipo, vinginevyo atajikuta hafanyi chocchote na atakufa kweli!Toroka mkoa utakufa ww
Mkopo wa Bank au hawa wa mitaaniInafika 6m.
Nipo serious na maisha Mkuu,kama una T2 agiza chochotee nitalipaaa😀😀Unatembea na fursa mkuu....Mimi ni ke
Na dawa ya kulipa ni nini?Pole mkuu dawa ya deni ni kulipa
Kiande wewe, unataka kufa kwa sababu unadaiwa milioni 6?Jumla zinafika 6million.
ulifanyia nn ww? Tatzo la maskini akpata pesa hajali hata kama ni ya mkopo atawaza matumiz ikibak kdogo ndo anawaza kuwekeza ndo ile mtu kabeti kapata mil 50 atanunua cm ya mil 3, gari mil 30 bata mil 15 hapo atazurula viwanja vyote vngne atavipandia ndege kbs plus na mademu ikibak iyo 2 ndo anawaza apatiemo hela ya kubet tena na biashara.Jumla zinafika 6million.
Mbona deni kidogo sana hili mkuuJumla zinafika 6million.