Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Jitahidi usikope mkuu, kukopa kunalemaza sana.

Utajikuta unatumia hovyo kile ulichonacho kwa kudhani kikiisha fulani atakukupea uendelee na life.

Pambana ulipe na ujitahidi usikope tena, na kukopa kunashusha thamani.
 
Serikali yenyewe ina daiwa Matrilionea una ogopa nini,kwanza unatakiwa ujipongeze una akili zako timamu ndio maana una kopesheka mkuu.
 
Back
Top Bottom