Nimefedheheka sana

Nimefedheheka sana

Dogo angalia iko siku utakutana na mabasha humu.

Wasiliana na mimi babu ndo namiliki mabebz wote huku.

BTW ungemwambia unapenda kuoa mwanaume. Labda jamaa ni shoga. Ungejilia vyako kilainiiiii....

Bora mm sio mbebz maana kumilikiwa na babu ni janga
 
Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi.
Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia nilizipenda.

1.Mnyenyekevu.
2.mvumilivu
3.mwenye heshima
4.mwenye future nzuri
5.kamaliza chuo.
kwa vile alikuwa anaongea polite alinivutia ILS
alikuwa anakwepa kunipa namba ya simu,ila kadiriki kusema ananipenda sana na kunitumia picha zake kadhaa (fake pics).

Nilidata kwa miezi tatu.,Jana kanifungukia kwamba anaona dhambi kunichezea akili na kufunguka kwamba yeye ni mwanaume alikuwa anacheza tu na akili yangu.

Nimefedheheka sana
Shukuru amefunguka mapema kwani amekuepusha mengi,leo ungekuwa unaandika mengine.
 
michael western

Very weakened person . how can he do this? Common people please thamini hisia za watu wengine wanaoleta maada zao hapa. Ooh God. Pole sana kaka yangu. Msamehe na mshukuru mungu kwa yote. Pole sana, sana .
Mbona huku JF wengi tu wanatumia ID zisizo za jinsia zao?
 
Pole sana mkuu...kuwa makini humu JF, kuna watu wana jinsia zaidi ya moja
 
anaweza kuwa mwanamke anakuzingua tu uondoke komaaa chali angu
 
Hahahaaa...na mimi mwanaume, mnaonitumia PM zenu jiangalieni...sitaki lawamaaa...
 
hahahahahahaa....pole sana ndio ukome kudandia dandia hii ndio Jf bana
 
Dogo angalia iko siku utakutana na mabasha humu.

Wasiliana na mimi babu ndo namiliki mabebz wote huku.

BTW ungemwambia unapenda kuoa mwanaume. Labda jamaa ni shoga. Ungejilia vyako kilainiiiii....

Una miliki wengine mie simo ktk list ako
 
Loh pole sana yani humu ht hakuaminiki hz ID ht mm cnaga imani nazo
 
Hahahaaaaaa!! Nisamehe kwa kucheka tafadhali nimejikuta tu nacheka, bt ni mapito tu, kung'uta vumbi endelea.
 
Back
Top Bottom