shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
heee we si umeniambia unalea mapacha ila mama yao Paloma mshaachana unafukuzia michepuko saivi
Last edited by a moderator:
Maswali mazuri Sana haya Ila imenishangaza ndugu jamani unalala nae vipi bila woga? Binadam tunatofautiana tena home duh kaz kweli kweli
miaka 18
male
ni mtoto wa shangazi yangu upande wa baba
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.
Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu kila ninapokuwa nyumbani anatamani kuwa karibu na mimi lakini mimi najaribu kumkwepa.
Tatizo jingine kuna dada mwingine ni mropokaji sana, kwahiyo naogopa asije akamwambia mzee kuhusu hili kwa vile anajua kitu tulichofanya, sasa nimwambie aniache kunisumbua au nifanyaje.
Naombeni ushauri
triple k mna tabu
kula
kunya
kulala
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:

Hahahahaha
We mtafute Ishmael ibn MaxShimba akutoe mapepo. Una MAPEPO Machafu. Umtayarishie Mr. Kitimoto sadaka nono ili aifanye kazi hiyo ya kipaulo kwa bidii.miaka 18