mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Maswali mazuri Sana haya Ila imenishangaza ndugu jamani unalala nae vipi bila woga? Binadam tunatofautiana tena home duh kaz kweli kweli
Yaani haya mambo anayeweza Mnyama na Ndege mfano kuku na jamii zake,mnyama wa kufuga na wa porini.
Lakini kwa binadamu ni jambo la ajabu labda na wewe uwe na akili za mnyama.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!