Nimefanya mapenzi na ndugu yangu, nifanyaje?

Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.

Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu kila ninapokuwa nyumbani anatamani kuwa karibu na mimi lakini mimi najaribu kumkwepa.

Tatizo jingine kuna dada mwingine ni mropokaji sana, kwahiyo naogopa asije akamwambia mzee kuhusu hili kwa vile anajua kitu tulichofanya, sasa nimwambie aniache kunisumbua au nifanyaje
.

Naombeni ushauri
Ukikua utawacha.........
 
Yaani mie hata sielewi kwa yule kikongwe Asprin mnaona nini lol..

Babu naomba kizizi na mie.. Maana ninaona hawa watoto wa kike wanavyokutolea mijicho ya uchu..

Wewe cheka na simba tu.. kiwatengu hebu ukuje hapa uone mchepuko unavyopigiwa debe uje kuuchepua mahaba yako..

shansarie ...........hahahahaa mmenichekesha leo

sasa huyu aliyelala na nduguye....ni nduguye kivipi kwanza? wa damu gani? au wa kuungaunga na utomvu?

maana hapo ndo tutajua hadhi ya nyege alizokuwanazo na kumshauri afanyeje. vinginevyo huu uzi ni mizinguo tu!
 
Last edited by a moderator:

Ngoja uzeeke ndo utajua kwann Asprin anafaidi sket
 
Last edited by a moderator:
shansarie ...........hahahahaa mmenichekesha leo

sasa huyu aliyelala na nduguye....ni nduguye kivipi kwanza? wa damu gani? au wa kuungaunga na utomvu?

maana hapo ndo tutajua hadhi ya nyege alizokuwanazo na kumshauri afanyeje. vinginevyo huu uzi ni mizinguo tu!

Ni mtoto wa shangazi yake. Si unajua binamu nyama ya hamu.
 
Last edited by a moderator:
Dah jamani JF ndo maana imekuwa hivi. Kumbr kuna vijitu vya 18 hapa
sijui tunajenga taifa gani la vijana wasiojitambua, mimi nakumbuka mpaka nina miaka 24 sijaanza NGONO, hii ni shida sana
 
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.

Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu kila ninapokuwa nyumbani anatamani kuwa karibu na mimi lakini mimi najaribu kumkwepa.

Tatizo jingine kuna dada mwingine ni mropokaji sana, kwahiyo naogopa asije akamwambia mzee kuhusu hili kwa vile anajua kitu tulichofanya, sasa nimwambie aniache kunisumbua au nifanyaje
.

Naombeni ushauri

Mwambie "thitaki uchokozi nitakuthemea kwa baba" ataacha kukusumbua.
 
ndugu yangu vijana wa kisasa wameharibikiwa na hii mitandao ndo taabu tupu
sijui tufanyaje labda tuwaombee vijana wameingizia kwa hayo mambo ndo maana magonjwa hayaishi

Back
Top Bottom