kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
miaka 18
male
ni mtoto wa shangazi yangu upande wa baba
Miaka 18 unataka uambiwe uendelee na uzinzi na ndugu yako au usiendelee?? ..unategemea watu wazima tukuambie nini??
miaka 18
male
ni mtoto wa shangazi yangu upande wa baba
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.
Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu kila ninapokuwa nyumbani anatamani kuwa karibu na mimi lakini mimi najaribu kumkwepa.
Tatizo jingine kuna dada mwingine ni mropokaji sana, kwahiyo naogopa asije akamwambia mzee kuhusu hili kwa vile anajua kitu tulichofanya, sasa nimwambie aniache kunisumbua au nifanyaje[
/SIZE].
Naombeni ushauri
yaani jinsi nilivyokumisi nimekupa na rep kabisa, rudi kwenye mtongozano wa kiutu uzima ujipatie mwingine, paloma kachemsha . tatizo unadukua sana punguza udukuzi . Nakale kababe ulikompa inakuwaje au ndo mnabaki walezi?
btn mmi siachiki tutazinguana tu ila siachwi, nkiachwa mm kila mtu ataachwa.
Mwambie hivi: '"wewe ni ndugu yangu acha kunitongoza mimi bado mwanafunzi" ataacha na kukuonea aibu.
Natoa matunzo kwa mapacha wangu but mapenzi yamekufa shansarie.. Ha ha ha ahsante kwa rep na mie nitafanya the nidful.. Tatizo ninamuona kiwatengu yuko busy anafukuzia visketi ndo maana nikaamua mie niwe a standby optiion kwako..
Halafu udukuzi ndo dili lililobakia mjini hapa.. Kutangaza nia siwezi.. Tell me uko poa lakini wewe..?