Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habari wakuu,

Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?

Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote ule.

Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?

Msaada tafadhali.
 
Swali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...

Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??

Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.
 
Nimecheka leo na Majibu ya watu humu,Mkuu vyo vyote itakavyokua ndio maandika yako ila sema na hisia zako una seem kuziendekeza sanaa, vuta subra halafu ukapime,nakuomba uwe na ushujaa kama uliokua nao wakati unamsomesha huyo
mdada mpaka akakubali basi sema na nafsi yako ukapime please.
 
nenda ukanywe pilipil nyingi then muite uchape tena kavu!!Nenda ukanywe Pep so nenda hospitali ukapewe dawa za emergence
 
Kabla hujamgonga ulikuwa umeshapata taarifa kuwa ameathirika au ulikuwa hujui? All in all nyg mbaya sana...
 
Utanyooka tu!..ndio malipo ya uzinzi hayo
 
Una presha tu.
Mbona mi' ndiyo zangu hizo!
Ndiyo pakuponea humo.
Nshachakaza sana,sometime nyama kwa nyama na walioathirika,kinachonisaidia ni mate kwa wingi.
Ila sijaenda kupima na life linasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…