Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom.
Wakati PEP ni vidonge anavopewa mtu baada ya kukutana kimwili au kufanya ngono zembe na mtu ambae ameathirika, au kwa upande wa madactar wetu katika operation inawezekana kajichoma sindano ambayo imetumika kwa muathirika,Sharti la pep, inabidi vidonge vitumike ndani ya masaa 72.
Swali langu je unaweza ukatumia prep badala ya pep na ikafanya kazi vizuri, kwa mtu mwenye uhitaji na prep pia akatumia pep ikafanya pia kazi vizuri.naomben majibu nimeshajichanganya huku wakuu,nataka niwah masaa yamebaki machache