ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Habari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote ule.
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali.