Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.

Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kurudi kwao Kigoma mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda kuonana nae. Mara kwa mara tulikutania guest moja pale mitaa ya Mwanga. Sasa mwezi ulioisha mwaka huu tulielekea kwao mimi na yeye.

Akawa amenitambulisha kwa mama yake kuwa mi ni mchumba wake. Mama yake akaniuliza unaitwa nani? Nikamwambia kila kitu kuhusu mimi na familia yangu kwa ujumla na sehem napoishi.

Nilipomwambia tu akaanza kulia huku akisema kuwa alizaa na baba yangu na mtoto ni yule mchumba wangu (jina nalihifadhi kwajili ya kutunza heshima) lakini alipo olewa tena kwa mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba alimbadilishia jina mtoto wake na jina la ubini likanadilika akamuita jina la yule mme wake wa pili.

Nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa nahisi kuchanganyikiwa kwani yule binti anaujauzito wangu na mi na yeye tumechangia baba mmoja tofauti ni mama tu.

Nifanyeje jamani?
Mkuu, wewe endelea kujaza tu...kwani sasa inagoma kuingia?
 
Tunza hyo mimba acha uboya pale kat patamu
Adamu ana hawa wa pili
Hyo hatareee
 
We endelea naye hata ikibidi oa kabisa. Kosa sio la kwenu kwa hiyo hakuna laana hapo. Hakuna kitu kibaya kama kumzalisha mtu halafu ukamuacha.
 
Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.

Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kurudi kwao Kigoma mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda kuonana nae. Mara kwa mara tulikutania guest moja pale mitaa ya Mwanga. Sasa mwezi ulioisha mwaka huu tulielekea kwao mimi na yeye.

Akawa amenitambulisha kwa mama yake kuwa mi ni mchumba wake. Mama yake akaniuliza unaitwa nani? Nikamwambia kila kitu kuhusu mimi na familia yangu kwa ujumla na sehem napoishi.

Nilipomwambia tu akaanza kulia huku akisema kuwa alizaa na baba yangu na mtoto ni yule mchumba wangu (jina nalihifadhi kwajili ya kutunza heshima) lakini alipo olewa tena kwa mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba alimbadilishia jina mtoto wake na jina la ubini likanadilika akamuita jina la yule mme wake wa pili.

Nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa nahisi kuchanganyikiwa kwani yule binti anaujauzito wangu na mi na yeye tumechangia baba mmoja tofauti ni mama tu.

Nifanyeje jamani?
Tunakulaga mbona?
 
Tumesha kaa vikao viwili, wanadai tuvunje undugu kwa kuchinja mnyama

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Kama undugu wenu uliunganishwa na mnyama ndipo hapo mnapoweza kuuvunja kwa mnyama, lakini undugu wenu ni wa damu, wa baba mmoja.

Tatizo ni la mama wa binti anaanzaje kumbadilisha ubini mwanaye halafu baada ya kukutambua analia? analia nini sasa? ubini wa baba ndiyo unaotuungabisha ndo mana mtoto wa mjomba aweza kuoa mtoto wa shangazi kwani hapo kuna koo mbili tofauti.

sasa ninachokushauri achana kabisa na dada yako hayo ni machukizo mbele za MUNGU.
 
Watoto wa adam na hawa hawakujamiiana ili kuijaza dunia?

Wewe oa tu.
 
Mhh kizazi cha miaka hii ni shida. Itakuwa baba Yako alimtenda uyo mama wa bint so Mungu amemlipishia kwa njia nyingine.
Inawezekana manake mpk kufikia kubadili jina kumpa baba mwingine.. Na Mungu ameamua kumkumbusha baba wa kijana... Hii ni hatari
 
Hizi movie za kibongo kabisa
Jamani kubalini ni kweli hajatunga... Hapa jirani kwetu mtani kwetu.. Kuna Kaka alizaa na dada ake bila kujua.. Ilikua hivi kijana na bint walijutana mkoa mwingine wakapendana wakaanza mahusiano wakati huo kijana alikuwa anatumia ubin wa mama yake... Bint akapata mimba anarudi kijijin kwao.. Baada ya miaka miwili kijana kamkomalia mama ake ampeleke kwa baba yake.. Inabidi mama na kijana kwenda kwa baba huko kijijin.. Walipofika bint akawa pokea kwa shangwe na furaha kubwa akijua kijana kaja kujitambulisha huku mama wa kijana akishaangaa na kumuuliza anamjua atajibu ndio tulionana mahali flan mama akamwambia dada ako mtoto wa baba ako. Du baba kutoka nje wanafanana na kijana balaa... Kijana alichukua mwanae akamlea.. Jamani haya mambo yapo Kabisa wala si yakutunga msaidieni.. Kosa la wazazi
 
Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.

Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kurudi kwao Kigoma mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda kuonana nae. Mara kwa mara tulikutania guest moja pale mitaa ya Mwanga. Sasa mwezi ulioisha mwaka huu tulielekea kwao mimi na yeye.

Akawa amenitambulisha kwa mama yake kuwa mi ni mchumba wake. Mama yake akaniuliza unaitwa nani? Nikamwambia kila kitu kuhusu mimi na familia yangu kwa ujumla na sehem napoishi.

Nilipomwambia tu akaanza kulia huku akisema kuwa alizaa na baba yangu na mtoto ni yule mchumba wangu (jina nalihifadhi kwajili ya kutunza heshima) lakini alipo olewa tena kwa mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba alimbadilishia jina mtoto wake na jina la ubini likanadilika akamuita jina la yule mme wake wa pili.

Nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa nahisi kuchanganyikiwa kwani yule binti anaujauzito wangu na mi na yeye tumechangia baba mmoja tofauti ni mama tu.

Nifanyeje jamani?
Endelea kumpa utamuzzzz
 
Tumesha kaa vikao viwili, wanadai tuvunje undugu kwa kuchinja mnyama

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Sawa Alfred, Swali ni je, huyo mnyama atakuwa amezaliwa na mamako au babako ili mkiisha mdedisha undugu wenu uvunjike??
Kama ulijua kuwa huyu ni dadako hapo ndo lingelikuwa kosa. Hukujua, sasa umejua. Kilichotungwa mimba hakina kosa, kizaliwe mkitunze muachane kabisaaa. Huyu ni umbu lako
 
Back
Top Bottom