Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

Pole sana na yaliyokukumba, hili no tatizo kubwa kwa wanawake kuwaficha watoto wao ukweli wa majina ya baba zao.

Na amini mwenzako angefahamu amgeweza kushtuka mwanzo au katikati.

Usijilaumu sababu hauma makosa, cha muhimu mueleze baba yako nae ajue na mama yako. Pia hata kama kuna mitego ya mila nina uhakika haitakukamata sababu haukufanya kwa kujua kimakusudi.

Ili pia ni funzo kwa wanaume wanaozaa na kuficha bila kuanza kuonyesha watoto wenu wa nje kivyovyote vile. Ila sitaki kufikiria kuwa katika viatu vyenu, kweli damu inayoingia sura za watoto usaidia sana. Pole
Tayali wazazi wote wanajua, na walisha kaa vikao 2 na kimebaki kimoja cha mwisho kwakili ya maamuzi.
 
mama alificha ubini wa mwanae...ww uko right huna kosa,mama mkwe inabid aendelee kuficha jina la ubini ili mtoto apate malezi yenu
 
Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.

Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kuludi kwao KIGOMA mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda kuonana nae. Mala kwa mala tulikutania guest moja pale mitaa ya Mwanga. Sasa mwezi ulioisha mwaka huu tulielekea kwao mimi na yeye.

Akawa amenitambulisha kwa mama yake kuwa mi ni mchumba wake. Mama yake akaniuliza unaitwa nani? Nikamwambia kila kitu kuhusu mimi na familia yangu kwa ujumla na sehem napoishi.

Nilipomwambia tu akaanza kulia huku akisema kuwa alizaa na baba yangu na mtoto ni yule mchumba wangu (jina nalihifadhi kwajili ya kutunza heshima) lakini alipo olewa tena kwa mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba alimbadilishia jina mtoto wake na jina la ubini likanadilika akamuita jina la yule mme wake wa pili.

Nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa nahisi kuchanganyikiwa kwani yule binti anaujauzito wangu, na mi na yeye tumechangia baba mmoja tofauti ni mama tu. Nifanyeje jamani???

Kosa si lako na ukiishia hapo haina dhambi ukatunza mtoto. Ukiendelea Ni Laana...
 
Hapo huna kosa kwasababu hukujua. Lea mimba. Lakini.msichana wa SAUT akakubali kutembea naye na kumuoa ukiwa form.4 na bila.mwelekeo wa maisha! Hapo naona kama ngumu.
 
Kama hii si hadithi tu ya kutunga basi nakuhakikishia kuwa huyo si dada yako wa damu hata kidogo. Nakushauri uendelee kufuatilia hadi kwa baba yako uone kama kweli anamfahamu huyo mama wa huyo binti na kama hiyo kweli ni dada yako. Pili, sidhani kama mume mpya angekubali kumpa jina lake "mtoto wa kufikia".

Ninschokiona hapo ni uwezekano mkubwa kuwa huyo ni mtoto wa huyo mama na mume wake wa pi (sio baba yako). Ikibidi, yaani kama ule dhamira kutuma, fuatilia DNA unajua. Vinginevyo, achana naye mara moja.
 
Mhh kizazi cha miaka hii ni shida. Itakuwa baba Yako alimtenda uyo mama wa bint so Mungu amemlipishia kwa njia nyingine.
 
Hii ni cliche, tumeizoea mno.
Mkuu kaa utunge story nyingine, kuna market kubwa tu kwenye social media ya hizi hadithi za kufikirika.
 
Back
Top Bottom