Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

Nimefanya mapenzi na dada yangu kwa miaka 3

ulivyohitimu form four uliendelea na shule au ndo ulijiajiri ktk kuwagegeda madada wa chuo?
 
Muendelee tu maisha maana ushatumia utamu kiasi cha kutosha na mimba juu sasa kilichobaki ni nini? ndo maisha ya mwendokasi haya.
 
Muendelee tu maisha maana ushatumia utamu kiasi cha kutosha na mimba juu sasa kilichobaki ni nini? ndo maisha ya mwendokasi haya.
 
Hivi vitu havigomi kuingiliana, si kaka si dada,
Hapo ndo Yakobo alikwenda kuoa kwa mjomba Labani!
 
Sijafanya kosa sababu sikujua, ila nawaza juu ya ujauzito alionao, pia kuna vikao wamesha kaa wazee bado hawajafikia mwafaka.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Sasa ujauzito unataka uufanyaje....? Acha ujinga....mwache dadako....atazaa mtoto atalelewa...kwanza mi nashangaa hao wazee wanakaa vikao vya nini...coz hii ni wewe ulitakiwa uamue tangu day one ulivyojua...mengine ni formalities tu

cc miss chagga
 
Kama Dada na wewe mlikuwa mshafikia hatua ya kutambulishana it means mnapendana kwa dhati,kumbuka hata ukisema muachane tayari kunA kiumbe kishawakutanisha leo mpaka kesho.na ili isiwe fedheha kwake na kwa family yenu pale tu atakapoolewa na mtu mwngine,itampa stress na hata kujiskia vibaya...funika kombe Muoane tu maisha yaendelee
 
Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.

Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka alipomaliza na kurudi kwao Kigoma mi nikabaki Mwanza. Kila nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda kuonana nae. Mara kwa mara tulikutania guest moja pale mitaa ya Mwanga. Sasa mwezi ulioisha mwaka huu tulielekea kwao mimi na yeye.

Akawa amenitambulisha kwa mama yake kuwa mi ni mchumba wake. Mama yake akaniuliza unaitwa nani? Nikamwambia kila kitu kuhusu mimi na familia yangu kwa ujumla na sehem napoishi.

Nilipomwambia tu akaanza kulia huku akisema kuwa alizaa na baba yangu na mtoto ni yule mchumba wangu (jina nalihifadhi kwajili ya kutunza heshima) lakini alipo olewa tena kwa mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba alimbadilishia jina mtoto wake na jina la ubini likanadilika akamuita jina la yule mme wake wa pili.

Nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa nahisi kuchanganyikiwa kwani yule binti anaujauzito wangu na mi na yeye tumechangia baba mmoja tofauti ni mama tu.

Nifanyeje jamani?
Hakuna shida budah, mpe mchuchu dushelele na kumkojoza kama kawa maana hukujua mwanzo sababu ya Waka FB,Istagram,JF,Whatsapp,twitter n.k kwani kwa sisi huwa tunawauliza vyura uzao wao na kufanya udadisi kwanza.Kwa maana hata Kumuuliza Jina la baba,babu,bibi, ukoo n.k.
Any way NOP endelea kumchimba tu na maisha yasonge mbele, lakini iwe funzo kwa engine kufanya mapenzi au ngino za mwendokasi ninatumai mnanielewa werevu.
 
Sasa ujauzito unataka uufanyaje....? Acha ujinga....mwache dadako....atazaa mtoto atalelewa...kwanza mi nashangaa hao wazee wanakaa vikao vya nini...coz hii ni wewe ulitakiwa uamue tangu day one ulivyojua...mengine ni formalities tu

cc miss chagga
maisha lazima yasonge aisee
 
dini zinakataza kufanya mapenzi kabla ya ndoa. ridhaa ya wazazi inasisitizwa. inashangaza hata dini zinafungisha ndoa za wenye mimba watu watatu mwili mmoja lakini wanasema wawili wamekuwa mwili mmoja. HUENDA AKAJA NABII WA KWELI KWA NDIMI YA MOTO kwa sasa dunia mhhj!
 
Back
Top Bottom