Actually my real name is Kasinde hii Kasie ni swagg tuu bin Matata ya Mahaba hehehehee. Na mtu akiniita jina kamili huwa najikuta natabasamu kabla hata sijaitika hehehehehe.
Sikubaliii, ntakufata hukohuko kwenye kitovu bin centre. Mission not fail rather plan changed....