Nimefail kui-hack jamiiforums

I phone ni nini mkuu au ulimaanisha iPhone?
Bongo hakuna hacker ... sasa kama wewe unajiita hacker yule “smliing hacker “ atajiitaje ?!

I phone wametangaza dau kwa atakaye weza ku hack technology yao anza hapo kwanza
 
Uki hack Jamiiforum unaweza fungwa jela ?
 
Ukiniambia unahack kwa kutumia Android napata ugumu kidogo kukuelewa japo inawezekana kwa improved devices ila sio simu ya kichina.......
 
Labda niweke mambo sawa kidogo ili vijana wasipoteze muda sana na mambo ya hacking...
Hacking is far more than pressing Enter buttot on your PC.

Kuwa hacker ni kipaji na sio kukurupuka. Ukijua programming haimaanishi unajua kuhack. Kujua kuhack inabid uwe mult talented kwenye sekta tofaut za Computing... Kwa kuzitaja chache tu...
1. Programming
2. Networking and security
3. Reverse engineering
4. Systems design an analysis
5. Database and database programming
6. Cryptography
7. Hardware
8. Virtualization
9. Operating systems
Nk nk nk nk

Sitopata muda wa kuelezea yote hayo na umuhimu wake kwenye hacking.

Lakin kutokujua meng miongon mwa hayo utakuwa ni mbabaishaji na kuwatisha wasiojua.

Labda niseme kidogo tu upande wa programming na virtualization technology kwa mbali nikitupia cheche za networking japo sio mtaalam sana....
Kijana unajifunza kufanya hacking kwenye web app kama jamii forum, directly trying to attack it ( Kwanza kwa kanuni zakibaharia umekosea)
 
Kuna mengi ya kueleza hapa, ila muda hautosh....
Kiutaratibu kama unataka kutafuta makosa kwenye mifumo ya computer lazima uweke miundombinu ya kuweza kufanya hayo majaribio yako. Hiyo miundombinu inatengenezwa kwa kufanya somekind of virtualization. (Hapa kwenye virtualization Sasa unasimulate the entire structure namna web app/system inavofanya kazi) maana unaweza kudesign networking structure ya JF, arrangement ya servers, Routers, firewalls nk).

Ukidesign hivo na kujua server inafanya vipi kazi inabd pia ujue namna ya kureverse, na unaweza ukafanikiwa kureverse lakin isiwe na msaada sana kwako kama hujui decryption/encryption (cryptography).

NB: kukushauri tu kama unataka kuhack web apps jifunze vizur programming kama python, php, js, perl, Java,shell scriting na ruby.
Jifunze kufanya virtualization Tena kwenye PC yenye uwezo mkubwa sana ili uweze kufurahia tendo.
Jifunze database na models mbalimbali za kumanipulate databases kama vile ORMs
Jufunze Linux OS zinazotumika na mambo ya security mfano.. KaliLinux (Kali sana), Parrot Os, arch strike nk.
Jifunze kupiga attacks kwenye Samurai Web test framework, Damn vulnerable, mutillidae na pia ujifunze kutumia Ile kitu inaitwa Burp Suite .
 
wewe ni mwanamke kweli...?


Unataka kusema huamini kama tasnia ya tehama kuna wanawake au umenitizama kwa minajili ipi?

Naomba member muaminifu ajitolee kuhakiki Kasie ni kigagula kindakindaki mtaalam wa kudondokea vichwani mwa watu.

Le Big Sam Asprin njoo unijibie hapa mi maneno yameniisha.... ngachoka kapsaa....
 

kitu ambacho nilikuwa nakiwaza sana Mkuu
 
wacha utani wewe mtoto, yani umekariri nmap ndiyo unatisha watu?. nadhani uko stage ya chekechea hata mtihani wa la kwanza huwezi kufanya.
 
Basi ndicho kitakachofanyika 2020
Kimetokea Maandamano ya Mange
Kilitokea 2015
Serikali inatumia Dos attack
Au somekind of WAN DNS Poisoning kwa internet provider wetu kufanya site iwe unreachable
 
Jamaa uko njema
 
Unaacha hack mabenki upige mpunga, we unahangaika na JF
 
Hahah....
I was waiting for Melo to tap that like button...boom jamaa ka fanya kweli...
 
Daah, hongereni sana Admins, nimejaribu kusaka vulnerabilities kwenye jamiiforums ila nimesanda.View attachment 1194369

Unatumia NMAP ku hack site kama JF ni upotevu wa mda. Signature zake zinajulikana hiyo NMAP that why unapata tabuu sanaa.. site kama JF kutu rahisi nacho sio rahisi maana hata serikali huwa inapata taabu sana... huwa ni DDoS.. Site kama JF nikitaka fanyia test nitatumia BURPSUITE na METASPLOIT na sio hii metasploit ya bure..... Ingawa sijafanya hizi vitu miaka mingi sasa ila nikitumia hizo tools kidogoooooo nawezaaa kuona kitu japo ngumu sanaaaaaa
 
Hahah....
I was waiting for Melo to tap that like button...boom jamaa ka fanya kweli...

Aahahahahahahhaaa watuuuu, hivi parking siku hizi umehamia wapi.... Sikuoni....

Nna hamu ya kuseti/kutegesha pancha.... Aahahhahahahaa

Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…