Nimefail kui-hack jamiiforums

Umenikumbusha mambo ya command...
cmd command enter
ping slash colon enter
mara paap mitambo inakaa sawa watu wanaendelea kufanya kazi, enzi hizi hukooo kapilimposhi na katumba kwa mwanagati.

Ila watu wa IT Tuko kama Kobe, ukiona kimya ujue tunatunga sheria tukiinua kichwa tushafanya mambo.
 


duh! na wewe kumbe mwana IT
 
Kumbe pale ifmso uligonga ma IT mkuu?
 
Nifundishe python mama kasinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…