Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Huyu alikuwa anaitafuta sababu, leo kaipata sasa!! Hizi ndoa jamani taabu tupu!!
Hakuna mashiko hoja yako kaka.. Hakuna kinachonizuia kumuacha kama ningetaka kumuacha tena... Yaani nilimuacha hapo kabla kama nia yangu ni kumuondoa basi ningerudia kumuacha tu leo tena na wala isingekuwa shida....
 
ingia uone km kuna kukumbatiwa wala kubusiwa tena !teh(jokes aside)
Ndio maana nimewaachia wenye mioyo yenu, mimi huko walaaaa, sikanyagi.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Huyu alikuwa anaitafuta sababu, leo kaipata sasa!! Hizi ndoa jamani taabu tupu!!


kanikera! mru eti kutamka mdomon ndo unalibebelea1 watu mna watt! watu wanafumania wanakaa kusameheana seuze yeye! atupishe! alafu wanaume weng huwa wanahis wakimuacha mke atapaukaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe kuna watu nje wanamsubiria! kumbe tukiachika tutakuwa km kina jackline meng! mxiew! amuache aone!
 
Waone mashekh na uwaeleze kwamba huna elimu ya talaka na uwape mkasa wko

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe umefika ila ungeweka na ka picha kidogo tumjue

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hata mm naunga mkonyo hoja

Jesus is my saviour and a friend
 
ha
Ndio maana nimewaachia wenye mioyo yenu, mimi huko walaaaa, sikanyagi.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app



hhaahahhaha mie nimekuzengua tu na ww dogo! wenzako tunakula vyuku kwa mirija! jpl mume anakufanyia massage na scrub frm head to toe! hutaman bado? chezea wewe! sk ukiolewa nistuege! navyopenda keki..lols!
 
maelezo yako yanaonesha dalili ya kuwa na wewe pia ni mkorofi
 
I'm sorry but you don't sound remorseful to me....as a matter of fact you seem almost relieved to have gotten rid of her.... you have everything planned out, division of assets, child support.... heck you are even already thinking of a new wife.... You have no love for this woman. She is better off without you!
word
 
Uko na haraka saana, yawezekana ulikuwa unatafuta sababu madhubuti ya kutengana na mkeo.
Hata kama masahafu yanaelekeza hivyo na hakuna majadiliano mengine zaidi ya talaka.unapaswa kufikiria malezi ya watoto wako kwanza.kuliko kufikiria tamaa zako za mwili.kaa na mkeo mjadiliane yawezekana mkeo hana haja tena ya kuolewa na kuamua kubaki hapo na kulea watoto wake.
We ukahama na kwenda kuoa make mwingine ukawa unapeleka matumizi tu,au hats matumizi ni dhambi?
Yani mwanaume ndo ahame mji wake!!? Kwani nani alieolewa Kati yao? Yani ukimbie nyumba yako lije dume mwenzako kula mzigo ktk kitanda chako!!! Yani dah! Hayo Mambo mnayaweza nyie tu huko msipo achana hata km mwenzako anatabia chafu kupindukia.
 
Asante mkuu nimeona hapa Mas-ala Mbali Mbali Kuhusu Talaka | Alhidaaya.com ni moja ya school of thought.... naichukua nichanganye na opinion zingine so that maamuzi yangu yaendane na tafsiri yangu ya mwisho kuhusu hii hoja... Nashukuru sana kaka

383e1b46fa0db51927da4717afe5bca6.jpg



Nimekusaidia kugoogle.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Umeshajibiwa vizuri, hakuna talaka tatu kwa wakati mmoja, labda kama ulikuwa unatafuta sababu za kumuacha huyo mkeo, tuliza akili na uchanganye za kuambiwa na zako. Thanx JF
 
Imani ni ujinga

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Uko na haraka saana, yawezekana ulikuwa unatafuta sababu madhubuti ya kutengana na mkeo.
Hata kama masahafu yanaelekeza hivyo na hakuna majadiliano mengine zaidi ya talaka.unapaswa kufikiria malezi ya watoto wako kwanza.kuliko kufikiria tamaa zako za mwili.kaa na mkeo mjadiliane yawezekana mkeo hana haja tena ya kuolewa na kuamua kubaki hapo na kulea watoto wake.
We ukahama na kwenda kuoa make mwingine ukawa unapeleka matumizi tu,au hats matumizi ni dhambi?
===
Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Kimsingi sina shida ya kuhitaji kumuacha huyu mke...ingekuwepo ningempatia talaka hata sasa hivi kwani ninayo power mkononi mwangu. tatizo ni kwamba kimsingi, inapovunjika halali katika uislam huingia haram. Haram huzaa dhambi, ikitokea kwamba sheria inanitambua kwamba nimemuacha ujue akizaliwa mtoto kipindi hiki, huyo mtoto hastahili kunirithi wala mimi sistahili kumrithi kwakua sheria inamtambua wa nje ya ndoa.

kama mfuasi wa dini, ndio maana natafuta tafsiri halisi na wala sio natafuta sababu ya kumuondoa...ingekuwa sababu then ningempa talaka tu, ingetosha
 
Baada ya kuachana na utumwa wa hizi dini nina amani.
 
kanikera! mru eti kutamka mdomon ndo unalibebelea1 watu mna watt! watu wanafumania wanakaa kusameheana seuze yeye! atupishe! alafu wanaume weng huwa wanahis wakimuacha mke atapaukaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe kuna watu nje wanamsubiria! kumbe tukiachika tutakuwa km kina jackline meng! mxiew! amuache aone!
Kweli kuna wanawake wana mafurushi kama sio mizigo humu duniani acha tu!!
 
Back
Top Bottom