Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

ha




hhaahahhaha mie nimekuzengua tu na ww dogo! wenzako tunakula vyuku kwa mirija! jpl mume anakufanyia massage na scrub frm head to toe! hutaman bado? chezea wewe! sk ukiolewa nistuege! navyopenda keki..lols!
Lol, culture kwenye shela, i cant even picture myself, no no no Big No...
Keki utakula kwenye birthdays tu.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
hakuna talaka tatu za mara moja katika uislam ,,,
 
Thanks, Ukinipa fatwa za kutosha itanisaidia sheikh. Mambo ya Iman ni shida sana wakuu.... Naheshimu michango yenu sana kwenye humanitarian grounds...
Praise be to Allaah.



Firstly:

The fuqaha’ differed concerning the threefold divorce (talaaq). The correct view is that it counts as one divorce, whether it is uttered in a single phrase, such as saying “You are thrice divorced” or in repeated words such as saying, “You are divorced, you are divorced, you are divorced.” This is the view favoured by Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) and was the view regarded as most correct by Shaykh al-Sa’di (may Allaah have mercy on him) and Shaykh Ibn ‘Uthaymeen (may Allaah have mercy on him).

They quoted as evidence the hadeeth narrated by Muslim (1472) from Ibn ‘Abbaas (may Allaah be pleased with him) who said: At the time of the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him), Abu Bakr and the first two years of ‘Umar’s caliphate, a threefold divorce was counted as one. Then ‘Umar ibn al-Khattaab said: People have become hasty in a matter in which they should take their time. I am thinking of holding them to it. So he made it binding upon them.
 
Yani mwanaume ndo ahame mji wake!!? Kwani nani alieolewa Kati yao? Yani ukimbie nyumba yako lije dume mwenzako kula mzigo ktk kitanda chako!!! Yani dah! Hayo Mambo mnayaweza nyie tu huko msipo achana hata km mwenzako anatabia chafu kupindukia.
Yote umeyaweka ktk misingi ya kujipendelea ww kuliko watoto kama utawafikiria watoto kwanza na we kujiona kuwa unahitaji kuoa make mwingine na kuishi kwa amani na wanao kuishi chini ya uangalizi wako na mtalaka wako ni vyema we upishe NYUMBA kwa sharti mtalaka wako akiona kukaa bila Mme hawezi naye apishe mji
Vinginevyo kimbunga kitamkuta nimewahi ona jamaa mmoja alifanya hilo mitaa ya Tango bovu Mbezi na alikuwa dini inayoruhusu talaka(japo ugumu uliowekwa ni sasa na kukataza talaka)
 
Yani mwanaume ndo ahame mji wake!!? Kwani nani alieolewa Kati yao? Yani ukimbie nyumba yako lije dume mwenzako kula mzigo ktk kitanda chako!!! Yani dah! Hayo Mambo mnayaweza nyie tu huko msipo achana hata km mwenzako anatabia chafu kupindukia.
====
Issue sio nyumba, tumejenga nyumba kamili tano ambazo anaweza kuamua achukue ipi au zipi sina kinyongo kabisa. watoto wetu nawapenda na kuwataftia future at any cost na hata kuamua aondoke bila mtoto kama ikifikia huko, ni katika kumfanya watoto wasimfanye asiolewe tena na wanaume wachoyo....
Hapa hatuongelei maslahi kabisa...
 
Asante mkuu nimeona hapa Mas-ala Mbali Mbali Kuhusu Talaka | Alhidaaya.com ni moja ya school of thought.... naichukua nichanganye na opinion zingine so that maamuzi yangu yaendane na tafsiri yangu ya mwisho kuhusu hii hoja... Nashukuru sana kaka
Nimefurahi hiyo ya mwisho,
"nashukuru sana kaka" lol
pamoja kaka.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Ndugu zangu waislamu hapo tu ndo huniacha hoi. Yaani akipata mtu mpya kukuacha na visababu vya channel ten, sunna za wake 4, ooohhh nawasitiri wajane n.k. Hawachukulii ndoa serious am sorry siwapendi sana kwa hili allah nitoe katika huu mtihani Siku ya kiama ninusurike na moto wa jahanam Amiin.
 
hakuna talakatatu z
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel ten kutoka kwa Sheikh Mohamed Eid abu Eid, mada "matatizo katika talaka - (islamic)".

Kuna msikilizaji aliuliza swali kwamba ikiwa mwanaume katika hali ya hasira atatoa talaka "tatu" kwa kutamka, lakini punde akasema alighadhibika so itambulike ni moja, je hukumu ya kiislam inasemaje?
Jibu: Uislam hauna utani kwenye talaka, na mwanaume kapewa power ya talaka kwa kuaminiwa kwamba ni composed compared angepewa power hiyo mwanamke zingekuwa zinatumika dailly. so kitendo cha kusema tatu, itabakia kwamba umeacha talaka tatu na kuanzia hapo mwanamke sio mke wako na atakiwa arudi kwao. Utaruhusiwa kumuoa tena tu endapo ataolewa na mtu mwingine willingly na ataachika willingly bila fitna kutoka kwa mwanaume aliyekuwa amemuoa kabla.

Issue
miaka kama minne iliyopita iliwahi kutokea sintofaham kati yangu na mke wangu. Nakumbuka nikiwa nimelala mke wangu aliniamsha kwa hasira akitaka nimuache. Baada ya kumsihi na kushindwa nilitamka kumuacha talaka tatu...lakini aliponiomba nimuandikie kwa ajili ya uthibitisho kwao nikaandika moja. kwakua ikiwa moja au mbili mwanamke anatakiwa akae eda kwako, nilimruhusu abaki eda, na alhamdulillah siku ya pili tu aliniomba radhi nikamsamehe tupo hadi leo..

what next,
Leo tulikuwa na issue nyingine na wife, nilipokuwa ijumaa niliomba Allah anifaulishe katika mtihani wangu na wife katika kila sidja niliyoenda nikilenga amshushe jazba. Nilipofika nyumbani wakati nasubiri lunch, ndipo nikawasha channel ten marudio ya kipindi husika. Lahaula napigwa na butwaa kusikia hii kitu.

Nimebaki na butwaa nawaza kuwauliza masheikh wengine kama hili linakubalika katika madhehebu yote katika uislam. Na ikithibitika kuwa hakuna namna wakuu nitakuwa naagana na mpenzi wangu wa 15 years.

najiliwaza kwamba labda Allah anampango wake kwetu sisi wote. Labda ajali iliyotokea ilitakiwa itokeee kwa ajili ya kusimika maandiko. Labda ndoa yetu ilikuwa ya muda mahsusi na ililenga kupata watoto wetu.... Ikitokea nitaachananae nimeamua kumruhusu achague chochote katika mali zangu ambacho kitampa faraja aendako. Nitalea watoto wangu nakadhalika.

nawatahadhalisha wanaume wenzangu, muwe makini sana. Kwa atakaye muoa mke huyu namtakia kila la kheir. sina kinyongo atakuwa mke mwema kwako. nami inshallah huenda nitapata zaidi ya huyu...

regards,
Mahwelu

hakuna talaka tatu za mara moja katika uislam ...
huyo ni mkeo bado .. una chance mbili zimebaki zitumie vizuri
 
I'm sorry but you don't sound remorseful to me....as a matter of fact you seem almost relieved to have gotten rid of her.... you have everything planned out, division of assets, child support.... heck you are even already thinking of a new wife.... You have no love for this woman. She is better off without you!

Dude just wanted reason to exit,
 
Umepata sababu eeeh!!!
====
Asante kwa maono yako. Sababu ya nini? Kama muslim naruhusiwa kuoa up to 4 wives, pia naruhusiwa kuacha kwa talaka promptly anytime within rules... wapo wanaume wengi huwaacha wanawake kwa hila tu nami ningeweza kufanya hivyo....
Ni critical translation ya maisha yetu na maisha ya kiroho ambayo dini hushika nafasi kubwa sana... so please am not such selfish as you make it...
 
===
Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Kimsingi sina shida ya kuhitaji kumuacha huyu mke...ingekuwepo ningempatia talaka hata sasa hivi kwani ninayo power mkononi mwangu. tatizo ni kwamba kimsingi, inapovunjika halali katika uislam huingia haram. Haram huzaa dhambi, ikitokea kwamba sheria inanitambua kwamba nimemuacha ujue akizaliwa mtoto kipindi hiki, huyo mtoto hastahili kunirithi wala mimi sistahili kumrithi kwakua sheria inamtambua wa nje ya ndoa.

kama mfuasi wa dini, ndio maana natafuta tafsiri halisi na wala sio natafuta sababu ya kumuondoa...ingekuwa sababu then ningempa talaka tu, ingetosha
Ukisimamia tafsiri sahihi Niko pamoja na ww na nakuombea kwa Mola akuongoze vyema ila yote kwa yote watoto kwanza.
 
Kwa nini unaamini hizo habari za talaka tatu?
===
As a muslim mimi na mwingine yoyote ambaye unamfaham ni habari ya msingi katika context ya dini na jamii. Talaka huamua kati ya haki na wajibu wa wanandoa na jamii husika... so siwezi kuipuuza as if ni nonsense...
Kinachotakiwa ni kupata translation ambayo ni sahihi kwani kama unavyoona waislam ambavyo eid tunatofautiana siku ya kufunga na kula eid pia nalo hili kuna mitazamo tofauti... ndiyo maana nikasema najipa muda kusoma kutoka kwa wajuzi... usisahau matendo ya duniani tunaambiwa hulipwa akhera...
 
hakuna talakatatu z


hakuna talaka tatu za mara moja katika uislam ...
huyo ni mkeo bado .. una chance mbili zimebaki zitumie vizuri
====
Thanks mkuu naichukua hoja yako
 
Ni dhahiri shahiri huyo mkeo humpendi kwa dhati kwa kivuli cha maagizo ya dini.

Anyway Power is on you Sir
 
Praise be to Allaah.



Firstly:

The fuqaha’ differed concerning the threefold divorce (talaaq). The correct view is that it counts as one divorce, whether it is uttered in a single phrase, such as saying “You are thrice divorced” or in repeated words such as saying, “You are divorced, you are divorced, you are divorced.” This is the view favoured by Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) and was the view regarded as most correct by Shaykh al-Sa’di (may Allaah have mercy on him) and Shaykh Ibn ‘Uthaymeen (may Allaah have mercy on him).

They quoted as evidence the hadeeth narrated by Muslim (1472) from Ibn ‘Abbaas (may Allaah be pleased with him) who said: At the time of the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him), Abu Bakr and the first two years of ‘Umar’s caliphate, a threefold divorce was counted as one. Then ‘Umar ibn al-Khattaab said: People have become hasty in a matter in which they should take their time. I am thinking of holding them to it. So he made it binding upon them.
====
Asante Mkuu.... nafurahi kupata mshauri bora ambaye unajua maana ya tafsiri ya school of thought katika uislam. Sikuleta hoja hii hapa kama shujaaa ambaye anataka sababu ya kujivua .... kwanza mimi nimekulia familia ya mama na baba mmoja maisha yangu yote...mara zote ni muoga wa kuwatoa watoto wangu wakaishi na mtu mwingine zaidi ya mimi na mke wangu... so hii habari haijawa rahisi kama wanavyotafsiri ndugu zangu wengine... nashukuru
 
Back
Top Bottom