Umenena vizuri watu kama hao waliojawa na viburi kwenye matatizo ya wenzao ukifuatilia wengi wanaishi maisha ya kubahatishaUkitaka kujua tuna safari ndefu kufikia mafanikio jaribu angalia jinsi watu wanamjibu mleta Uzi hapa jukwaani, yani tumeshindwa kabisa kujua ni wakati gani tufanye midhaa Na wakati gani tuwe serious kidogo
Ndugu zangu kwa wale ambao wanamkejeli huyu jamaa eti poleni sana maisha ni safari Na kwenye hii safari kuna ups and down nyingi sana kama hujawahi pita kwenye hili huto kaa umuelewe huyu jamaa anapita kwenye kipindi Gani Sasa
Wito Na ombi langu tujaribu kuwa waungwana kwa maana kati yetu sisi hakuna aliye mkamilifu, tumsaidie kwa mawazo Na ndio maana amekuja hapa sababu anaamini JF ni tanuru la fikra.
Kuna wakati wa kupanda Na wakati wa kuvuna hivyo tujitahidi tofautisha nyakati
Ulipowauliza wahusika walikwambiaje mkuu?Nmedisco na naulizia kuhus hyo gpa ya2.. Kama unachochote unachojua nisaidie
Pole kwa changamoto husika, kila chuo kina taratibu zake ambazo kutozifuata/kuzikidhi hupelekea muhusika kudisco, wengine ni idadi ya Supplementary kwa semister, ulazima wa ufaulu katika masomo ya lazima na kadha wa kadha. Jitathmini tu, kwani sababu za msingi unazo wewe na zipo ndani ya uwezo wako, zifanyie kazi. Mara nyingi kama sio zote mafanikio huanzia chini, jitathmini na rekebisha mambo yako ili uweze ukafanikiwa kwa wakati mwingine. Kama kuna uwezekano fanya appeal, na kama hakuna namna, anza upya.Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Nmeongea na baadh ya watu hawana majibu ya uhakika.. Rais wa Tamelasa taifa yeye mwenywe ameshangaaUlipowauliza wahusika walikwambiaje mkuu?
WapiliPole sana mkuu,,,ulikua mwaka wa ngapi?
Wapili
Kuna wat wanasupp zte nne na hawajaandikiwa disco wala kurudia semista na wanahzo gpa za 2Una supp ngapi. ........kama zimezidi nusu ya masomo ulitakiwa urudie semester sio ku-disco .
Bado GPA inakulinda....
Jaribu kufuatilia mistake huwa ZIPO
Manne... ila kuna watu wasupp zte na hzo gpa za 2Sawa kwenye huo mwaka una masomo mangapi na kati ya hayo mangapi umepata supp
Haya mkuu tafuta kozi nyepesi hiyo inakusumbuaWakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Manne... ila kuna watu wasupp zte na hzo gpa za 2
NneSawa achana na watu,,,mimi nimekuuliza wewe una supp ngapi kati ya hayo masomo manne?
Nenda ofisini kawaambie GPA yako inaruhusu kufanya sapu sio disco....bado haujadisco mkuu pole Sana..labda kama ulikamatwa na illegal materials ila hutak kusema au pengine chuo chenu kimefutiwa matokeo kwa sababu ya kugushi ..Hapana ndug
Yaan una sapu zote nne kwenye masomo tote manne.....halafu GPA ni 2
UKIDISCO DIPLOMA MWAKA WA PILI HAWAKUPI CHETI (CERTIFICATE )Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
NdyoYaan una sapu zote nne kwenye masomo tote manne.....halafu GPA ni 2
Hyo kwakwel hapan..Nenda ofisini kawaambie GPA yako inaruhusu kufanya sapu sio disco....bado haujadisco mkuu pole Sana..labda kama ulikamatwa na illegal materials ila hutak kusema au pengine chuo chenu kimefutiwa matokeo kwa sababu ya kugushi ..
NafahamUKIDISCO DIPLOMA MWAKA WA PILI HAWAKUPI CHETI (CERTIFICATE )
Mkuu Alvin hatuongelei kupewa cheti hapaUKIDISCO DIPLOMA MWAKA WA PILI HAWAKUPI CHETI (CERTIFICATE )
Mie nahisi umeharibu sehemHyo kwakwel hapan..