Nimedisco, msaada wenu please!

Nimedisco, msaada wenu please!

NJOO KITAA HUKU TUKABE WATU MTAJ NGUVU ZAKO ACHANA NA SHULE ISHAKUSHINDA NJOO TUTEKELEZE ILE KAULI MBIU HAPA KAZI TU
 
Ukitaka kujua tuna safari ndefu kufikia mafanikio jaribu angalia jinsi watu wanamjibu mleta Uzi hapa jukwaani, yani tumeshindwa kabisa kujua ni wakati gani tufanye midhaa Na wakati gani tuwe serious kidogo

Ndugu zangu kwa wale ambao wanamkejeli huyu jamaa eti poleni sana maisha ni safari Na kwenye hii safari kuna ups and down nyingi sana kama hujawahi pita kwenye hili huto kaa umuelewe huyu jamaa anapita kwenye kipindi Gani Sasa

Wito Na ombi langu tujaribu kuwa waungwana kwa maana kati yetu sisi hakuna aliye mkamilifu, tumsaidie kwa mawazo Na ndio maana amekuja hapa sababu anaamini JF ni tanuru la fikra.

Kuna wakati wa kupanda Na wakati wa kuvuna hivyo tujitahidi tofautisha nyakati
 
Dah ubarikiwe san
 
Unadisko diploma? Pole sana. Tafuta kazi nyingine za kufanya. Sikiliza hii huenda ikakusaidia.
 
Dah ubarikiwe san
Amini mkuu,

Mungu wetu ni mkuu sana naamini utavuka salama Na tabasamu lako litarudi tena

Majaribu kama haya yapo kwa ajiri ya watu jasiri hivyo wewe ni jasiri usijidharau unatengenezwa kwa jambo zuri Na kubwa zaidi
 
Unaweza kua na GPA ya 2 lakini ukajikuta Hukufaulu zaidi 60% ya masomo yako yote.

Hapo lazima watakuDisco.

#vigezo&mashartiKuzingatiwa
 
Amna kweny mfumo wa Nacte tunafanya mtihan wa wizara kila mwaka ambao unasahihishiwa wizaran.. Ukiwa na na gpa chini ya 2 ndo unadisco

Kama uko above ila kuna somo umefeli unawekewa sup zko. Gpa ya mwisho 4.
Bwana mdogo umesoma chuo gani tukusaidie
 
Umejiunga na chuo na bado hujui una disco kwa GPA ya ngapi.. yani ni bora ukaachana na chuo endelea na kile unacho kiweza... MAISHA SIO SHULE TUU... maana hujui unalo lifanya na umefuata nini...

Ila swala la kudisco kawaida ila kwako ata ukirudia utadisco tena coz haupo serious
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Dah...kwa Uzi huu...Bola umedisc tu...maan ungetualibiya maabala zet
 
Kasome kitu kingine mdogo wangu Mungu Mwema ametuepusha na kuchanganyiwa majibu ya laboratory kwa mtu kama wewe
 
Back
Top Bottom