Nimedisco, msaada wenu please!

Nimedisco, msaada wenu please!

Kama kuna mtu anayefaham kipya kilichobadilika anifahamishe.. Sielewi nin nifanye!
 
Mkuu poleee sana ila sio mwisho bado hustling lazima ziendelee ila nipende kukutarifu sio kwako tu ni vyuo ving vina supplementary nying na dsco nying hapa tu nipo na rafiki yang wa chuo fulan kwao wamedisco 41

Mkuu shukran ila ningependa kufaham muongozo wa Nacte juu ya disco inapatikana vp.. Kwa yeyote anayefaham, samahan lakn
 
Nko njia panda.. watu wananishangaa imekuaje wakat gpa ya 2 ni nusu ya 4 na haimfanyi mtu kudisco kwa mujib wa muongozo, ndomana npo dilemma
 
Labda uligombana na lecture akaamua kukufrekelea mbali
Anyway, weka pingamizi kwenye matokeo yako??appeals
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Awali kabla ya yote, wewe ni jinsia gani?
 
Unaweza kuwa na GPA ya 2 kwa vile ulipata feki A zikajipanga na umefeli masoma kama manne hivi! Kutegemea na sera za chou chenu Ku-disco kunakuhusu!!
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
kunywa sumu
wakati wenzio wanasema we ulikuwa unafanya nini?
 
Back
Top Bottom