Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,601
sasa mwanachuo gani hawezi kutofautisha maabara na maabalaMkuu una roho mbaya
sasa mwanachuo gani hawezi kutofautisha maabara na maabalaMkuu una roho mbaya
kudiskisha ndio nini? na wewe ni discontinue mtarajiwa
Aisee watu wanakejeli tu lakini Kudisco kusikie kwa jirani mkuu...!! Unaweza kata tama ukachukua hata maamuzi ya ajabu snaa maana kupoteza miaka mitatu au miwili chuo afu familia ilijitoa kukusomesha maisha yenyewe haya aisee....Ukitaka kujua tuna safari ndefu kufikia mafanikio jaribu angalia jinsi watu wanamjibu mleta Uzi hapa jukwaani, yani tumeshindwa kabisa kujua ni wakati gani tufanye midhaa Na wakati gani tuwe serious kidogo
Ndugu zangu kwa wale ambao wanamkejeli huyu jamaa eti poleni sana maisha ni safari Na kwenye hii safari kuna ups and down nyingi sana kama hujawahi pita kwenye hili huto kaa umuelewe huyu jamaa anapita kwenye kipindi Gani Sasa
Wito Na ombi langu tujaribu kuwa waungwana kwa maana kati yetu sisi hakuna aliye mkamilifu, tumsaidie kwa mawazo Na ndio maana amekuja hapa sababu anaamini JF ni tanuru la fikra.
Kuna wakati wa kupanda Na wakati wa kuvuna hivyo tujitahidi tofautisha nyakati




Mungu amsaidie jamaaAnajiona naye anajua eti
funza funza tu akili imejaa funza eti wewe ni discontinue mtarajiwa
Nendeni huko na GPA zenu za 2 huko mimi nimegraduate degree wewe upo primary funza wewee





eti funza wewe...Of course atakuwa ameshindwa kuchomoa SUPau ulicary ukashindwa kuchomoa?
ac
ha dharau we mwehu, unajitia mjuaji kumbe hamnazo.
Nmedisco na naulizia kuhus hyo gpa ya2.. Kama unachochote unachojua nisaidieMbona huelewek unauliza kuhusu kudisco na GPA ya 2 au umedisco tayari ??
Yaan umedisco na una GPA ya 2 ??Nmedisco na naulizia kuhus hyo gpa ya2.. Kama unachochote unachojua nisaidie
NdyoYaan umedisco na una GPA ya 2 ??
Ulikamatwa na illegal materials kwenye pepa auNdyo
Ww unaonekana unazo akili nyingi za kutosha kama nimekuona umeongea vizuri kabisa, Mie nilishawah kuambia na mtu nina uelewa mdogo wabongo ndivyo tulivyo tukipata sisi wasionavyo tunawaona hawafaiDah ubarikiwe san![]()
Hapana ndugUlikamatwa na illegal materials kwenye pepa au
System tunayotumia ni ya NacteHapo inategemeana na chuo husika kwa mfano SUA wanaangalia GPA ba Credit hours, waweza kua na GPA ya 2 alafu Credit hours zisipofikia 16 kwa mwaka OFF YOU GO.
Pole sana mkuu,,,ulikua mwaka wa ngapi?Haydom