Nimedisco, msaada wenu please!

Nimedisco, msaada wenu please!

Nenda ofisini kawaambie GPA yako inaruhusu kufanya sapu sio disco....bado haujadisco mkuu pole Sana..labda kama ulikamatwa na illegal materials ila hutak kusema au pengine chuo chenu kimefutiwa matokeo kwa sababu ya kugushi ..
Nitafuata ushaur wako mkuu..
 
Afya wanakaziwa dipy usifikiri ni procurement hii ni clinical medicine
 
Mkuu Alvin hatuongelei kupewa cheti hapa
SA KAMA KADISKO UNADHANI CHUONI HAWAJUI GPA YAKE.
YAWEZEKANA ALISAPU SOMO AKARUDIA AKASAPU TENA AKAFANYA LASTI ATEMPT AKAFELI KWA VYUO KAMA "SUA" HATA UKIWA NA GPA YA 4.5 UNAONDOKA TU
 
SA KAMA KADISKO UNADHANI CHUONI HAWAJUI GPA YAKE.
YAWEZEKANA ALISAPU SOMO AKARUDIA AKASAPU TENA AKAFANYA LASTI ATEMPT AKAFELI KWA VYUO KAMA "SUA" HATA UKIWA NA GPA YA 4.5 UNAONDOKA TU
Mie nahisi huyu jamaa atakuwa amesapu mara ya pili lakin hataki kutuambia ....aseme tu ukweli hiyo GPA ya 2 kaipata kwa mara ya pili
 
SA KAMA KADISKO UNADHANI CHUONI HAWAJUI GPA YAKE.
YAWEZEKANA ALISAPU SOMO AKARUDIA AKASAPU TENA AKAFANYA LASTI ATEMPT AKAFELI KWA VYUO KAMA "SUA" HATA UKIWA NA GPA YA 4.5 UNAONDOKA TU
Mim nmefany mtihan first sit..
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Hiyo ni indicator ya kukuonyesha kuwa maisha yako hayako shuleni. Jipange na pigana kivingine. WanaJF unataka wakusaidie nini? Ni ngumu. Sheria za ulipokuwa unasoma zinafanya kazi. Ziheshimu.
 
Hiyo ni indicator ya kukuonyesha kuwa maisha yako hayako shuleni. Jipange na pigana kivingine. WanaJF unataka wakusaidie nini? Ni ngumu. Sheria za ulipokuwa unasoma zinafanya kazi. Ziheshimu.
Nilichohitaj hpa nikujua kama kuna vgezo vngne zaid ya gpa.. Nikipata uhakika bac nitaanza kufuatilia mwenywe namna yakujisaidia.

Kama ikionekana nisahih nakuna vgezo zaid nitashkur Mungu nakuachana na hii habar.. Sina sabab yakudanganya!
 
Matokeo yamebandikwa jana, nko hpa ili kupata uhakika wakile nachopigania ili nikienda najua nafany kitu kwauhakika..
hahahahaaaaaaa sa we jamaa unatupotezea muda kumbe hata Uongozi haujautaarifu na upo eneo la tukio. yawezekana wamekosea uchapaji. anza nao ndo uje huku
 
Back
Top Bottom