Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

kupambana na wanaomsogelea demu wangu.
ni kweli maana huyo jamaa asingesimisha gari kama hakuona unafanana na aliyetumwa kumlinda binti wakati ametumwa na wazazi!
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.

Ningekuiwa mimi ....!!!!!!!!!
 
mwenye kingi huongezewa na mwenye kidogo hicho kidogo alichonacho atapokonywa, kuwa makins sana kijana dont trudt too much unawez ukaja kulia, cku hiz pesa ndo kila kitu
 
hata nikitafuta hela kiasi gani bado kuna watu watanizidi tu, hapa mwanamke anatakiwa atulie, si kwamba sina kitu kabisa, mtaani kwetu na mimi nipo juu, ila nikitoka tu nje ya pale kwisha.

Hahahaa haaaa
eti nawe upo juu mtaani
 
Penzi la kweli halinunuliwi na pesa kama ana msimamo hiyo haitokuwa sababu ya kukukimbia jiamini utapata pesa yako hakuna aliyekuja na kitu duniani ni swala la.muda na wewe.utamiliki vyako Mungu alivokuandikia kila la heri
 
Nakuelewa sana ndugu yangu.

Kuna best friend wangu mmoja aliwahi asingeweza ku-date na girlfriend kama wangu kisa ni mzuri sana. Anyway, kuwa na girlfriend mzuri sana nayo ni mtihani in itself, hasa hasa ukiwa mtu wa kipato cha chini. Kitu cha kuombea nii kwamba awe na nidhamu, la sivyo utakufa kwa pressure.

Me nimezoea bhana, ukiingia restaurant, ukumbi mzima unastop for a second.

Note :: Ukitaka mpenzi mzuri sana, ujuwe kuna wengine wengi pia wanamtaka.... jiandae kwa lolote.

So unaenjoy mkiingia mahali watu wanastop kuwaangalia??
 
b.itches need money we want their pu.ssy simple as that
 
Mpwa ww kwl umeniangusha mwenye v8 hawezi kua na mbwe2 uyo itakua anaendesha la shemeji ake anapeleka car wash ss cku nyngn akiomba namba na ww omba namba yake au dada ake kbs huku unaongea sauti ya kimende acha uwoga gari hauna hata mikwara unakosa aaaaarrrrgh...!
 
M ngekua wewe ningemuomba huyo jamaa 0713 ye si anamtongoza demu wako na we mtongoze yeye uone
 
Watu wenye pesa wanakula mademu wakali
wewe huyo demu unamuona mkali ila kwa watu wenye pesa ni wa kawaida saaana kamwe

ukikutana na demu mwenye pesa utashangaa na roho yako

labda huyo jamaa mwenye v8 kaazima tu hilo gari kwa ajili ya kujipatia dagaa kama demu wako
 
Hahahaa huyo jamaa alijua wewe ni hausboi wao!!
 
Back
Top Bottom