Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

hata nikitafuta hela kiasi gani bado kuna watu watanizidi tu, hapa mwanamke anatakiwa atulie, si kwamba sina kitu kabisa, mtaani kwetu na mimi nipo juu, ila nikitoka tu nje ya pale kwisha.

Usiwe unatoka nje ya mtaani kwenu sasa ye mwisho wake iwe mtaani kwako ambako ww ndo tajiriii
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.

mbona hujamalizia stori yote? Halafu embu niambie hayo magari makubwa yanayoitwa v8 yakoje?yametengenezewa wapi maana nijuavyo kuna nisani diesel v8 ambayo ni malori na kuna range.ford n.k na hayo ni kutokana na ukubwa wa engine.
 
hata nikitafuta hela kiasi gani bado kuna watu watanizidi tu, hapa mwanamke anatakiwa atulie, si kwamba sina kitu kabisa, mtaani kwetu na mimi nipo juu, ila nikitoka tu nje ya pale kwisha.

Kama ulisahau nikukumbushe kuwa pesa ndio rafiki wa wanawake. Tafuta hela kwanza kuna piece ndio kwanza zina miaka 15 sasahivi, baada ya miaka 6 au 7 zitakuwa moto wa kuotea mbali.
 
Ha,ha,ha,haaaa.Mwenye nacho ataöngezwa,na asiyekuanacho hata kile anachodhani anacho atanyang'anywa.KWANI WEWE HUSOMI MAANDIKO?

Hahhaha well said, hata iko kidogo cha mke kifaa atapokonywa ndo maisha yalivo
 
Hapo hajachukua uko nae jiulize hua anasumbuliwa mara ngapi akiwa peke yake je hua anakubali au anawakatalia????
 
Ni sawa.......anaweza beba kutoka Buzurugwa kupeleka Tandahimba......sio lazima apeleke China........
Preta siamini kama msichana mrembo kama wewe una majibu ya namna hii, badala ya kunihurumia wewe ndo unatia pilipili kwenye kidonda.
 
Last edited by a moderator:
mbona hujamalizia stori yote? Halafu embu niambie hayo magari makubwa yanayoitwa v8 yakoje?yametengenezewa wapi maana nijuavyo kuna nisani diesel v8 ambayo ni malori na kuna range.ford n.k na hayo ni kutokana na ukubwa wa engine.

malizia wewe, mjinga kabisa wewe.
 
We demu mzuri unamtembeza vp kwa mguu?! Huko kichwani zinakutosha kweliii?
 
We demu mzuri unamtembeza vp kwa mguu?! Huko kichwani zinakutosha kweliii?

kwani hata ukimtembeza kwa gari ataenda kila sehemu kwa gari? benk ataingia na gari pia? sokoni atazunguka na gari? madukani kununua nguo napo ataingia na gari? lazima kuna sehemu bado ataonekana tu ndugu.
 
Back
Top Bottom