Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

malizia wewe, mjinga kabisa wewe.

kwani mimi nilikuwepo? Mpenzi wako alitoa namba au hakutoa?

Mjinga ni wewe unayelialia badala ya kutafuta na wewe hela. Kaa ukijua mapenzi hayalindwi na fedha. Unaweza ukawa na fedha na bado akamegwa
 
Wanaume wenye pesa wanafanya hivyo kwasababu majority ya mabinti hapa dar wakiona pesa wanasahau mengine

huyo mwanaume aliyefanya hivyo ni mjinga, na anapewa courage naw ajinga wenzake ambao ni wake kwa waume... Watanzania tumeharibu sana ile culture ya kuheshimu uti, kwa sasa tumejikita kwenye kuheshimu vitu
 
Atakua punguone huyu hahaha asubir kugongewa huku anaona

kwanza aache ujinga wake wa kulialia hapa, kama huna pesa hata demu mkali huna haki kuwa nae! na Kama huyo demu ni mkali kweli basi nae hajitambui na hajui thamani yake. Mademu wakali ni kwa wenye pesa tu!! nyinyi choka mbaya tafuteni wa hadhi yenu!
 
tafuta pesa sasa usije ukapokonywa ukaongeza ugumu wa maaisha una pesa unakuwa na demu mkali unatafuta matatizo tuu mkuu tafuta pesa ndo kila kitu
 
Jana nikiwa natembea
barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye
gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu,
hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa
akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi
ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho
ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana,
kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo
niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na
mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.

heee! pole mi nilifikiri wanaume huwa wanapendana! loooh mtu anaona yuko na mtu na bado anamnyemelea!
 
heee! pole mi nilifikiri wanaume huwa wanapendana! loooh mtu anaona yuko na mtu na bado anamnyemelea!
mzingo km unaita lzm umtokee alafu unaona mtu wake kachoka km kisu IPO shida yanni unalamba tu
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
Kuna hadithi ilikuwa katika vitabu vya shule ya msingi - usifurahi mwanzoni. Maisha ni safari ndefu ipo siku watamchukua tu. Ukiwa naye faidi akiondoka jutia. Kwani ulimkuta hajaguswa?
 
ukitembea nae siku nyingine mweke upende amabo siyo bara bara ili wasimwone ..
 
Mwenye kisu kikali ndo anaekula nyama!!! Hujui hilo.. watakucheka watu!!...
 
Nakuelewa sana ndugu yangu.

Kuna best friend wangu mmoja aliwahi asingeweza ku-date na girlfriend kama wangu kisa ni mzuri sana. Anyway, kuwa na girlfriend mzuri sana nayo ni mtihani in itself, hasa hasa ukiwa mtu wa kipato cha chini. Kitu cha kuombea nii kwamba awe na nidhamu, la sivyo utakufa kwa pressure.

Me nimezoea bhana, ukiingia restaurant, ukumbi mzima unastop for a second.

Note :: Ukitaka mpenzi mzuri sana, ujuwe kuna wengine wengi pia wanamtaka.... jiandae kwa lolote.
 
Hapo kwa demu mwenye msimamo na anayejiheshimu kwa mahusiano mlionayo ....
Huna haja ya kuhofia.
Keep up z game on her.
Kama ni wako ni wakoooo tu bro.
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
ningekua mimi ningemuuza....dem kitu gani si ushakula ama....chukua hela sepa!
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
we tafuta hela ya bastola tu akisimamisha unachomoa unamtupa nje unaendesha we na dem wako! kwani bastola ni ghali kama V8?
 
Back
Top Bottom