Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
kwanza aache ujinga wake wa kulialia hapa, kama huna pesa hata demu mkali huna haki kuwa nae! na Kama huyo demu ni mkali kweli basi nae hajitambui na hajui thamani yake. Mademu wakali ni kwa wenye pesa tu!! nyinyi choka mbaya tafuteni wa hadhi yenu!
na wewe acha kuuliza swali la kijinga bana.
angekuwa mwenyewe angetoa number na papuchi kama kawa na wala usibenefit chochote labda ukimwi! kipi bora atoe and ubenefit ama? uwezi rusha jiwe on earth likaelekea juu bila kuirudi labda on Mars thats nature! women by nature wants a powerfull man even non-homo sapiensaiseee, una roho ngumu sana kama ndivyo ulivyo.
money cant buy love hata siku moja....NOT MY LOVE.(ni vitu vidogo sana vinavyoweza vikamfanya mwanamke ampende sana mwanaume hata kama wakiishi maisha ya kimaskini,ambavyo wanaume wengi hawatambui hilo).Na wanaume wengi wenye pesa huwa wanadharau na kuwatreat wanawake zao like trash only bcz they can buy them cars,and other materials things...nakwambia mwanamke anaejitambua hashabikii kupata mwanaume mwenye pesa ila she works hard to be a rich woman,hakuna kitu kizuri kama kuwa independent,i dnt need ur dime to survive.
kwa hiyo niendelee kuvumilia hizi dharau?
angekuwa mwenyewe angetoa number na papuchi kama kawa na wala usibenefit chochote labda ukimwi! kipi bora atoe and ubenefit ama? uwezi rusha jiwe on earth likaelekea juu bila kuirudi labda on Mars thats nature! women by nature wants a powerfull man even non-homo sapiens
kama we mwenyewe umekubali we ni maskini ni wazi pia naye ameliona hilo na analifanyia kazi! we subiri kuambiwa "jamani baby lini tena tutatembea kwenye ile barabara...halafu mi nilimchukia hukoooo! kufika hapo utajua kwishaaa kazi yako.....! hahahahahahah relax brooo your note her type we hapo unawachungia wanaume wenye ubavu!mimi siwezi, nitaendelea kumpigania pamoja na umasikini wangu bcoz i love her very much, ila nikishindwa basi.
kupambana na wanaomsogelea demu wangu.