True...napitia kipindi kigumu mno now,_ila naamini kabisa kitaisha sikati tamaaNothing is permanent. Nothing is perfect. Even life itself is temporary and imperfect. This too shall pass.
Ni kwasababu umeusoma kwa jicho la kilokole ndo maana umeona hivyo but it's not like that and not among them.ushauri wako ni wa kilokole kuliko uhalisia
yawezekana alikosea.sawa! lakini ukweli ni kuwa huyo mchungaji alidanganya japo yawezekana ni kwa nia njema.
Hata kwenye Bible kuna watu walikataa tamaa lakini Mungu hakuwahesabia dhambi ya kutosamehewa.
OK R.I.P
Rafiki Mjue sana Mungu,ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyo kujia. Ayubu 22:21Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
AiseeSory for this unafungua mpka ID ya Jf ili ujiue ha ha ha so funny hairisha kwa sasa you are not ready
Mitihani kwa binadamu ni sehemu ya maisha usione watu wanacheka ukadhani hawana mitihani, kumbuka nahodha hodari hajaribiwi kwa bahari tuli, cha msingi ni kukabiliana nayo maadam afya yako safi, tambua kabisa hapo ulipo kuna watu wanatamani wawe kama wewe japo wewe unaweza ona ni kawaida namalizia kwa kukuachia msemo wa wenzetu " The Secret of happiness you see, is not found in seeking more, but in developing the capacity to enjoy less"Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Unajua roho mtakatifu anakufuriwa vip? kukata tamaa ni kumkufuru roho mtakatifu piaTango pori!
kukata tamaa sio dhambi isiyosamehewa bali kumkufuru Roho Mtakatifu ndio dhambi isiyosamehewa.
The rest of your message is good.
usinidanganye kijanaUnajua roho mtakatifu anakufuriwa vip? kukata tamaa ni kumkufuru roho mtakatifu pia
Yap!we all make mistakes.yawezekana alikosea.
True...napitia kipindi kigumu mno now,_ila naamini kabisa kitaisha sikati tamaa
Hivi unajua maana ya KUKATA TAMAA?usinidanganye kijana
Eliya na Yona ni miongoni mwa watu waliokata tamaa kiasi cha kuomba kufa
Je walimkufuru Roho Mtakatifu?
Sara naye alikuwa amekata tamaa
Watu wengi wanakataa tamaa kila siku je hao wote hawasamehewi?
Ina maana mleta mada hawezi kusamehewa maana kwa madai wako tayari amemkufuru Roho Mtakatifu kwa kukata tamaa.
Usiongeze wala kupunguza neno la Mungu hata kama ni kwa nia njema.
Note; sio vyema kukata tamaa.
Ndio sababu...???Mwili ni gereza la roho.
haya sijui nipe maana yake.Hivi unajua maana ya KUKATA TAMAA?