Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

Sikia nikwambie kitu kizuri rafiki.....! Maisha tunayoishi wanadamu sisi wenyewe ndio tunaamua yaweje, either yawe yenye furaha,upendo,amani, afya na raha mustarehe. Au yawe yenye huzuni,kutojiamini,mfadhaiko,upweke na maumivu.

Sasa wewe kwa kutokujua umejikuta umechagua upande wa mabaya, yawezekana unalipa mabaya uliyoyafanya nyuma sasa law of karma inakuadhibu.

Lakini habari njema ni kwamba unaweza kuirudisha furaha, amani, upendo, kujiamini kuliko potea. Unafanyaje sasa? Twende taratibu hahahaha....

Ni hivi ubongo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu 2....! Conscious mind na subconscious mind.

Sasa huyu bwana conscious mind yeye ni kama captain wa meli yeye ndio anaona kilicho mbele na ndio anampa taarifa na muongozo injinia aliyoko ndani, ambaye ni subconscious mind...! Sasa endapo captain atamwambia injinia kata kulia hata kama Kuna barafu yeye atafuata hivyo hivyo....! Kila unachokiona, kila unachofikiri, kila unachoamini, kila unachotamka kinachukulia na conscious mind kinapelekwa kwa subconscious mind, ambaye ndio analeta matokeo sasa

Subconscious mind yako ina uwezo mkubwa sana, ina uwezo wa kukupatia chochote kile unachokita endapo utaiomba kwa unyenyekevu na kuiamini...! Kinachokuponza wewe umekua mtu wa kujiwazia mabaya tu, hivyo unachowaza ndio hicho subconscious inakuletea.....!

Sasa kuanzia leo anza kufanya yafuatayo na utakua mtu kama wengine utakua ni mwenye furaha kuliko.....! Andika kwenye karatasi yafuatayo
1.subconsious mind yangu inajua kila kitu, ina uwezo usio na mwisho wala kifani imenifanya kuwa ni mwenye furaha,
2.mimi ni mwenye amani ya moyo.
3.mimi najiamini sana.
4.mimi ni mwenye upendo na ninapendwa na kila mtu.
5.mimi na furahia sana kuishi katika hii dunia iliyo nzuri na baraka tele. Tamka maneno hayo kila siku kabla ya kulala na baada tu ya kuamka asubuhi, kwa unyenyekevu na uiaminishe subconscious mind yako kuwa hayo uyasemayo ni kweli. Nakuhakikishia baada ya siku 21-40 ukitamka maneno hayo kwa utaratibu niliokwambia utakua mtu mwingine kabisa...!

Na kamwe usijiwazie mabaya hata kidogo maana yatakutokea kweli, always think positive....! Ni ujinga kuamini kitu kinachokudhuru.....

Amini amini amini nakwambia nawe utaponyeka.... hakuna aliyezaliwa aje kuteseka, wote tumezaliwa Kuja kufurahia maisha. Ila Kuna watu wanashindwa kufahamu uwezo mkubwa walionao ndani yao, mwisho wake wanaishia kupata shida na taabu kama mtoa thread. Subconscious mind yako ina majibu yoote yanayokusumbua ila tu wengi hawajui jinsi ya kutumia uwezo huo, wenzetu wazungu siri hizi walizijua mapema ndio maana shida shida hizi wao haziwapati.....!

Nikutakie kila la kheri
Mkuu, ungeandika kwa lugha ya bepari....
Thank you...
 
Mkuu....
There is a saying in Tibetan, ‘Tragedy should be utilized as a source of strength.’ No matter what sort of difficulties, how painful experience is, if we lose our hope, that’s our real disaster.”

Mkuu life shapes us,after failing lots of time,you give up trying.....embu this aside,kumbe unaweza kuandika kirefu,siku zote wewe ni mtu wa few sentences,lol..
 
Sikia nikwambie kitu kizuri rafiki.....! Maisha tunayoishi wanadamu sisi wenyewe ndio tunaamua yaweje, either yawe yenye furaha,upendo,amani, afya na raha mustarehe. Au yawe yenye huzuni,kutojiamini,mfadhaiko,upweke na maumivu.

Sasa wewe kwa kutokujua umejikuta umechagua upande wa mabaya, yawezekana unalipa mabaya uliyoyafanya nyuma sasa law of karma inakuadhibu.

Lakini habari njema ni kwamba unaweza kuirudisha furaha, amani, upendo, kujiamini kuliko potea. Unafanyaje sasa? Twende taratibu hahahaha....

Ni hivi ubongo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu 2....! Conscious mind na subconscious mind.

Sasa huyu bwana conscious mind yeye ni kama captain wa meli yeye ndio anaona kilicho mbele na ndio anampa taarifa na muongozo injinia aliyoko ndani, ambaye ni subconscious mind...! Sasa endapo captain atamwambia injinia kata kulia hata kama Kuna barafu yeye atafuata hivyo hivyo....! Kila unachokiona, kila unachofikiri, kila unachoamini, kila unachotamka kinachukulia na conscious mind kinapelekwa kwa subconscious mind, ambaye ndio analeta matokeo sasa

Subconscious mind yako ina uwezo mkubwa sana, ina uwezo wa kukupatia chochote kile unachokita endapo utaiomba kwa unyenyekevu na kuiamini...! Kinachokuponza wewe umekua mtu wa kujiwazia mabaya tu, hivyo unachowaza ndio hicho subconscious inakuletea.....!

Sasa kuanzia leo anza kufanya yafuatayo na utakua mtu kama wengine utakua ni mwenye furaha kuliko.....! Andika kwenye karatasi yafuatayo
1.subconsious mind yangu inajua kila kitu, ina uwezo usio na mwisho wala kifani imenifanya kuwa ni mwenye furaha,
2.mimi ni mwenye amani ya moyo.
3.mimi najiamini sana.
4.mimi ni mwenye upendo na ninapendwa na kila mtu.
5.mimi na furahia sana kuishi katika hii dunia iliyo nzuri na baraka tele. Tamka maneno hayo kila siku kabla ya kulala na baada tu ya kuamka asubuhi, kwa unyenyekevu na uiaminishe subconscious mind yako kuwa hayo uyasemayo ni kweli. Nakuhakikishia baada ya siku 21-40 ukitamka maneno hayo kwa utaratibu niliokwambia utakua mtu mwingine kabisa...!

Na kamwe usijiwazie mabaya hata kidogo maana yatakutokea kweli, always think positive....! Ni ujinga kuamini kitu kinachokudhuru.....

Amini amini amini nakwambia nawe utaponyeka.... hakuna aliyezaliwa aje kuteseka, wote tumezaliwa Kuja kufurahia maisha. Ila Kuna watu wanashindwa kufahamu uwezo mkubwa walionao ndani yao, mwisho wake wanaishia kupata shida na taabu kama mtoa thread. Subconscious mind yako ina majibu yoote yanayokusumbua ila tu wengi hawajui jinsi ya kutumia uwezo huo, wenzetu wazungu siri hizi walizijua mapema ndio maana shida shida hizi wao haziwapati.....!

Nikutakie kila la kheri
Mkuu ushawahi kusoma Dianetics au Scientology? Mimi najua kuwa kuna Analytical mind na Reactive mind kulingana na study yangu niliyoipata, nani sasa atakuwa na data za kweli?
 
Njoo Kanisani kwangu jumamosi. Nikupe neno la faraja. Uje na Tsh 1,000,000/= ya kulipia utakaso.
 
Naandika nafuta,naandika nafuta. Hiyo hali unayojiskia wengi hawatokuelewa unless washapitia hayo. Unahitaji msaada. Talk to someone you trust au kama ni ngumu andika all your feelings kwenye karatasi.Yashushe yote inasaidia kisha nenda kwa mwana saikolojia yoyote. Na kama unahitaji a listener usisite kunicheki.Pole na natumai utakuwa poa.
 
badala ya kumuomba Mungu ufe nakushauri uifanyie kazi hiyo sentensi yako ya mwisho ,"Mungu ulinileta duniani ili nifanye nini?". Kila siku uwe unamuuliza Mungu na ipo siku atakupa jibu. niliwahi kusikia kwamba kutaka tamaa ni dhambi isiyosamehewa, usikate tamaa maana umeumbwa kwa sababu maalum, sali sana ili uijue hiyo sababu ya kuumbwa kwako. Roho Mtakatifu akuongoze.
Tango pori!
kukata tamaa sio dhambi isiyosamehewa bali kumkufuru Roho Mtakatifu ndio dhambi isiyosamehewa.
The rest of your message is good.
 
Oky unanifanya nikumbuke philosophy moja niliyokua nayo kuhusu maisha nayo ilikua ina-sound

" kila kosa lazima lilipiwe gharama zake" ni hivi ulifanya kosa lolote lazima upate adhabu ya kosa ulilofanya hata kama sio Leo au sio sasa ila kuna mda tu wakulipa kulingana na makosa yetu

Iko hivi maybe umefanya kosa katika matumizi yako ya msharaha wa kwanza basi jua kwa kufanya hilo kosa utaingia gharama kufidia makosa uliyofanya (ngoja nitoe mfano wa pesa ) yaan ivi baada ya mshraha wako kutoka wewe ukanywa pombe mpaka pesa ikaisha kwenye wiki ya kwanza tangu msharaha kutoka basi jua kwa wiki zingine zilizo baki hadi kufikia kutoka tena kwa msharaha mwingine kipindi hiki utakua unatafuta means nyingine ya kumudu mahitaji yako sasa huko ndo kugharamika kwenyewe kwa kosa la kutumia msharaha vibaya

Sasa hapa inategemea hekima yako katika kutatua tatizo kwani kama wewe utaamya kwenda kukopa mkopo sehemu basi mda wa adhabu kukamilika unazigi kuongezeka kwa kua adhabu nyingine umeitafuta nayo ni madeni

Hivyo hivyo katika maswala mengine ya kimaisha kwenye mapenzi kama ukichukua mke/mume asiye sahihi (neno asiye sahihi hapa linatuonyesha kosa ) kwaiyo kutakua na gharama za kulipa kwa kuchulua partner kimakosa inategemea sasa ni mda gani unakaa nae na matatizo atakayo kuletea kwenye maisha yako na gharama za kulipa kwa kua na mtu asiye sahihi zinaweza kudumu kwa mda mrefu sana

Sasa wakati wa kupata adhabu ya kua na mtu asiye sahihi ukijichanganya tena ukachukua MTU mwingine (bahati mbaya tena akawa sio sahihi ) manake umefanya kosa juu ya kosa ambalo nalo adhabu yake itabidi ulipe sasa jaribu kupiga picha mda wa adhabu zako zitakopo kamilika utakua na umri gani ndo hapo inafika huoni sababu ya maisha

(To make it short) tukifika kwenye point hii ya maisha ndo inabidi kukumbuka kwa sisi wakristo kuna kitu inaitwa toba (kufanya upatano upya na mwokozi )

Kwa sasa kitu nachoweza kukushauri ni kutasimni ni kwa kiasi gani umefanya makosa na kupiga hesabu kwa makosa yote yanayoweza kua estimated kwa mda utakaotumika kufanya adhabu ya hayo makosa then kutokea pale ambapo utakua umemaliza kulipa gharama za hayo mkosa you can move on ......!!!!

Nb: kipindi hichi ukiwa upo kulipa gharama za makosa ya nyuma jitahidi sana usifanye makosa mengine ambayo unaona kabisa uwezo wa kuyakwepa upo

Mfano ni kuhusu hayo madeni uliyonayo hakikisha haukopi tena kipindi hiki ambacho unalipa madeni kwa sababu kama ukiendele kukopa utaongeza mda wa wewe kuendelea kulipa madeni kwaiyo hauto enjoy life

Kama kwa kuto kukopa tena kutafanya kubadilisha maisha yako (let it be ) acha yabarike ili huko Mbele uje uishi maisha yako ya Furaha principle hii ukiifata ita-apply kwenye kila aspect ya maisha yako na sehemu zote ambazo sisi watu tunafanya makosa
 
Dec 1 kwenye thread ya "Wanaotaka kuvadilishana vituo vya kazi " ulipost hivi

"Anayetaka kuna Arusha town , nije dar wilaya yoyote idara sec unapewa top u ya 2 Million

Kwa post hiyo wewe ni Mwalimu , na kama unaweza kumpa mtu million 2 basi kidogo una naafuu ya maisha , kwanini ukate tamaa?
 
Yani atafute mtu wakuongea nae Thats all atajisikia amani sana.. Akikaa kimya for sure anaweza kujiuaa alafu madeni yapo tu..!! Anaweza kuyamaliza..Kifo sio solutio kabisa

USIPOONGEA KIFO KITAZIDI KUKUANDAMA MKUU... ONGEA NA MTU...ONGEA MKUU
Naandika nafuta,naandika nafuta. Hiyo hali unayojiskia wengi hawatokuelewa unless washapitia hayo. Unahitaji msaada. Talk to someone you trust au kama ni ngumu andika all your feelings kwenye karatasi.Yashushe yote inasaidia kisha nenda kwa mwana saikolojia yoyote. Na kama unahitaji a listener usisite kunicheki.Pole na natumai utakuwa poa.
 
Hebu chukua muda uende hospitali kubwa kubwa hasa zile za kansa ukaone watu wanavyopata shida huko. Huenda ukitoka huko utapata pa kuanzia kuona kwa nini wewe upo hapo na utafanyaje kujinasua. Ni hayo tu.

NB: nimekomenti nikiwa napiga bapa hapa.
Ile bapa ya kwanza hukulipa,muhudumu amekuja kunidai mimi,njoo ulipe bana!
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
I think I do understand how you feel! And it's okay to feel that way! What I believe, that too shall pass and at the end everything will be okay, if it's not, then it's not the end.. Just hang in there
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom