Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,275
- 2,463
Kuna movie flani inaitwa Leaving las vegas. Nicholas cage kachoka na maisha ana kazi nzuri lakini hana furaha mwisho wa siku anaamua kuuza kila kitu na kusepa zake las vegas akiwa na lengo moja tu... kunywa pombe mpaka afe....
Dn give up mamaa maisha yana kila sababu za kuenjoy sema tu hujaangalia upande wa pili...
Mi na stress zangu zote sijawahi kufikiria kitu kama hicho
Dn give up mamaa maisha yana kila sababu za kuenjoy sema tu hujaangalia upande wa pili...
Mi na stress zangu zote sijawahi kufikiria kitu kama hicho