asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Utani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka;
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
Niko 60%. Za kwako.
Taja umri wako tuyamalizi pm
Weewee!!, nani anipige na kitu chenye ncha kali mimi!!????, wamenishindwa watu, mimi aniweze nani labda wayatume mashetani.hauogopi chenye ncha kali weeee!!!
Haya lakini nimesema tu.Weewee!!, nani anipige na kitu chenye ncha kali mimi!!????, wamenishindwa watu, mimi aniweze nani labda wayatume mashetani.
Na kwa taarifa yenu, I have started to get ideas about Avelyn Salt, ​ nione mtu analeta za kuleta..
I love Avelyn Salt, wenye wivu mjinyonge.Haya lakini nimesema tu.
Waswahili tuna msemo "ukitaka kula nguruwe usiseme naonja, tafuta aliyenona". Nikimaanisha hapo kwenye "49 na kuendelea".
ilitekwa sijui, maana kitambo sijaionaKwani ilienda wapi?
I hope Mungu akibariki i may get him the soonest;
ilitekwa sijui, maana kitambo sijaiona
ni kweli mkuu..karibu tena jukwaaniHukunitafuta bwana...nipo sana ila si unajua wakati unasumbua.