Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 29,045
- 47,086
Nipo London mwaka wa 35 leo na maisha ni mazuri sana nasubiri kustaafu nikanunue nyumba Spain au France 😄Upo wapi mkuu and how is life?
Kama Mungu akinipa uzima na afya njema
Nipo London mwaka wa 35 leo na maisha ni mazuri sana nasubiri kustaafu nikanunue nyumba Spain au France 😄Upo wapi mkuu and how is life?
OhoooKazi gani unafanya?
Sasa nani kasema daktar ndo anamshahara mkubwa?? Mimi nimecompare elimu ya mtu na mshahara anaoambuliaKwahiyo huko kijijini kwenu ndo mliaminishwa kuwa doctor ndo anamshahara mkubwa sio? Mimi nina mtu namfahamu analipwa 5m+ na ni under 30,baki hivyo hivyo
Silipwi na mtu natengeneza pesa mwenyeweMkuu kwa mwaka unalipwa shs ngapi??
unatengeneza shs ngapi kwa mwaka??Silipwi na mtu natengeneza pesa mwenyewe
Nimeona unanicheka ndugu.Karibu tokomae na box mkuu,fuata nafsi nako inataka nini.
ungemuambia una onlyfans🤣Ohooo
Huyu chenga na kwa akili hzi hawezi pokea huo mshahara.Sasa nani kasema daktar ndo anamshahara mkubwa?? Mimi nimecompare elimu ya mtu na mshahara anaoambulia
Interrogation hiyo 😄ungemuambia una onlyfans🤣
Binafsi nimemshangaa ana bajeti vipi hiyo pesa kuweza kuishi na kusaidia wazaziYaani unalipwa 24m per year unajiita una kazi nzuri ?