co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,415
- 2,143
Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden.
Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je nitasurvive?
Umri wangu miaka 27 sijaoa wala sina familia ,nina degree ya engineering,kwa sasa ninafanya kazi na mshahara mzuri tu ila ndo hivyo nataka niende huko nikaweke makazi