Nimechoka kuishi Bongo, nataka niende mamtoni

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,411
2,138
Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden.

Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je nitasurvive?

Umri wangu miaka 27 sijaoa wala sina familia ,nina degree ya engineering,kwa sasa ninafanya kazi na mshahara mzuri tu ila ndo hivyo nataka niende huko nikaweke makazi
 
Unaenda nje ya nchi kusaka ajira,au unaenda kutazama mazingira, ukirudi ndani ya nchi mambo yako bilabila, ulio tuacha ndani ya nchi tusha zidaka ngawira.
 
Again kuna watu wanachangia kwa kukatisha tamaa mno,mtoa hoja ishi kwa malengo yako,ukiamua kwenda kwa so called mabeberu nenda ILA jitahidi ukaingilie mlangoni sio kuruka ukuta au dirishani maana ukifanya hivi huu ni ushenzi,Good luck usisahau kuwa na passport, na ujiandae zaidi kisaikolojia kichwani, stay away from bongoz bora ujichanganye na zimbos au Kenyans na hata wapopo
 
ukufe tuu; uende wapi akili mgando hizo.
Wenye akili mgando ndo wakina nyie ambao hamuwazi fursa nje ya mazingira yenu....Tokeni nendeni nchi za watu,mbona wengine wanakuja bongo kusaka fursa?
 
Again kuna watu wanachangia kwa kukatisha tamaa mno,mtoa hoja ishi kwa malengo yako,ukiamua kwenda kwa so called mabeberu nenda ILA jitahidi ukaingilie mlangoni sio kuruka ukuta au dirishani maana ukifanya hivi huu ni ushenzi,Good luck usisahau kuwa na passport, na ujiandae zaidi kisaikolojia kichwani, stay away from bongoz bora ujichanganye na zimbos au Kenyans na hata wapopo
Hawakosekani hao
 
Mbona kuna watu wanaishi peponi tena bongo hii hii nini shida yako?
 
Back
Top Bottom