Nimechoka kufanyishwa mapenzi

Hata mm nilishawahi kuota ndoto km hiyo tena narafiki yng... Ila nilichokuja kukigundua nibalehe tu ilikuwa inszingua
 
kila siku nagombana na wanaume hakuna mwanaume ninaekaa nae muda mrefu Yan nashikwa na hasira za mara kwa mara nikifanya mapenzi siinjoy[B/] kabisa mpaka mpz wangu amechoka


[emoji134] Mshana Jr. nilichokuwa nauliza nimepata jibu!!!.....je kuna tiba/solution???
 
Pole sana Tuchki.
Hiyo shida ipo katika mlango wa ndoto yako.
Kama ana amini katika Damu ya Yesu, itakuponya
,itabidi uombe toba kwa jambo lililofungua mlango huo wa ndoto kumilikiwa na hiyo hali.
Kuomba toba kwa madhara yalio jitokeza kutokana na hiyo hali.
Kufunga na kuulinda mlango wa ndoto usitumiwe na pepo yeyote, kumbuka uki mkabidhi Yesu maisha yako, kuokoka utapata ufumbuzi wa mengi katika maisha yako.
Kama hauna ujasir mtafute mtu aliye okoka na mwenye maisha ya Ukristo ukusaidie katika hicho kifungo.
 
Wewe una ugumu wa mwanamume kama ungekuwa mwanamume hungeota ndoto hizo tafuta mwanamume akugegede. Vilivyo huwezi kuota tena hata mm nikipokuwa sijaowa nilikuwa naota kama hivyo au nikiwa safari ya muda mrefu bila kugegeda huota nagegeda hadi wazungu wanashuka mwaaaaa
 
Sawa mkuu
 
shukran mkuu
 
Sawa mkuu
 
Asante mkuu...kufanyiwa deliverance ya nini
Ni maombi ya kumtoa huyo adui wa kiroho, kurejesha uharibifu uliofanyika pamoja na kufundishwa namna ya kukaa katika ulinzi pia adui akikung'ang'ania ataadhibiwa vikali. Ni vyema ungesema upo wapi ili upate usaidizi uliopo karibu mapema.

Wengi wanakutana na hayo na wanasaidika
 
Wewe ni dini gani kama muislamu kuna duaa wakati wa kulala ukiamka kila tendo lina duaa
ndugu yangu nimepata kisomo cha ruqya leo huwez amini kuna vitu vinatembea ndani ya mwili kama mdudu pia nilihisi kuungua na kupoteza fahamu naomba mniombee mtanzania mwenzenu
 
Ni PM na wala hutakaa usikie upuuzi huo. Pia ningependa jua unakaa mji gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…