Nimechoka kufanyishwa mapenzi

~chukua Mahindi makavu kabisa Yale ambayo hupelekwa kusaga kwa ajili ya unga,yakaange kama Karanga,yakishakuiva,ingia chooni uyatafune kiasi cha kiganja kimoja tu./ tatizo KWISHA.
uwiiii
 
Furahia mkuu. Maana hulipishwi,huombwi hela ya saluni wala ya vocha.
 
Natumai unatafuta wateja hapa Ila kama sivyo nenda kwa wachungaji au mashekh na mrudie muumba wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…