Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,857
- 7,336
Mimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyeweAcha tu umewaza nilivyowaza π
Mbona mapema hivyoWakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Mmeoana kwa miaka mingapi?Mapema sana ila ndo imeenda hiyo mkuu.
Hongera sana...Hiyo ni maturity level ambayo bado mimi ni Learner.Mimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyewe
Sio mbaya sana huyo mtoto pima dnaMinne.
Asante Na mtoto je ?You did what is right for your soul bro, sasa save your soul more, Fukuza hio mtu right away ama toka wewe uende umuache. There is always a new better life for you. Kuendelea kukaa na huyo mualifu si sawa huwezi jua namna gani patiency yako inaweza tetereka
Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Tatizo ulioa mke wa mtuNakushauri na sikushauri pia, labda kuna watu sahihi, ila the way she was innocent. Hakuna atakaeamini kwao na kwetu nikimwambia alilonifanyia.
Labda umuumbe wako ila hata awe sura gome kama Chimpanzee Watu watatafuna tu.Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.One Man Down...kudadadeki. Pole sana wanawake ni wakukaa nao kitaalam sana