Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Najua lazima useme hivyo lakini ninchojua wanawake hawasahau kupenda!
Anaye kupenda mpende kweli!
Anaye kupenda mpende kweli!
Weeeee mie sina moyo wa kupenda ile ya mwaka 45. sasa hivi full usanii, ujinga kwenda kurudi mbona full ujanja