Nimechanganyikiwa.

Nimechanganyikiwa.

Pole sana mwaya, kiukweli inauma sana, yaliwahi nipata hayo sitaki kukumbuka, Isipokuwa lipo tumaini dada ni sawa na ulikuwa unatembea ukajikwaa ukaanguka, unainuka unajifuta vumbi enaendelea na safari. Mungu atakupa Mume bora, Huyo hakuwa wakwako achana nae, anza maisha yako upya .

1. Utulie , uwe makini.
2. Mshirikishe Mungu hili jambo, atakujibu
3. Uwe mwaminifu mbele za Mungu hawazi kukuacha

Pole sana ninaamini Mungu atakusaidia, Utapata mtu aliyesahihi kwako.

Nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
Mimi nakushauri tafuta shughuli za kuchanganyika na watu (Kuimba kwaya za kanisani, kucheza michezo km Netbal ) wewe mwenyewe utaona tofauti na utapata Wanaume wa ukweli
Huyo jamaa lazima Wiki-end hii taakufuata na kukuomba msamaha ili Agegede sasa ni juu yako kama huna Msimamo wewe bora umwambie na wewe umepata Mchumba wa kweli (lazima utajua kama alitania au alikuacha kweli kwa ajili ya kabila
POLE SANA HUYO JAMAA USIJARIBU KUMLEGEZEA MIGUU PANDE TENA
 
Hapa inaonesha huyu jamaa ana mchezea akili tuu na ukuta hata mother hajui hizo ishu na hajasema, sema jamaa kamchoka na katumia hiyo njia kumkimbiza!

jamani kuna wasichana na wanawake. Hilo kaeni mkijua, unadhani angemwambia nini ili amuache? Kuna namna nyingi tofauti za kukaa mbali na mtu unayeona hakufai. Mi mwenyewe kuna dada katika maongezi ya kawaida naona plan zetu ziko tofauti kabisa, yaani malengo hayaendani. Mi napanga kuanza kilimo cha kibiashara ye anakwambia hawezi kuishi nje ya arusha, au dar na kazi hana lakini amesoma. Unadhani huyu ntamuweza mie niliyezaliwa na mkulima? Ukimuuliza home utapenda kuwe na mfugo gani anakwambia hapendi mfugo wa aina yoyote! Sasa hata maziwa ninunue wakati kufuga naweza? Hata mayai ya kuku na nyama ya kuku ninunue huku nimezoea home tulifuga kila kitu? Natafuta tu namna ya kumwambia naomba tuishie hapa!
 
Mimi nakushauri tafuta shughuli za kuchanganyika na watu (Kuimba kwaya za kanisani, kucheza michezo km Netbal ) wewe mwenyewe utaona tofauti na utapata Wanaume wa ukweli
Huyo jamaa lazima Wiki-end hii taakufuata na kukuomba msamaha ili Agegede sasa ni juu yako kama huna Msimamo wewe bora umwambie na wewe umepata Mchumba wa kweli (lazima utajua kama alitania au alikuacha kweli kwa ajili ya kabila
POLE SANA HUYO JAMAA USIJARIBU KUMLEGEZEA MIGUU PANDE TENA

Asante sana kwa ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom