Nimechanganyikiwa nisaidieni

Nenda kafanye usajil, utakuwa ukichukua hela ya boom na kumalizia ada na malipo mengine. Utaishi kimkakati hupaswi kuiga watu.

Halafu kalamba asilimia 70 anaanza kulia lia aende aishi kimkakati asisahau kununua jug na majani ya chai yale ya kutumbujiza ya vipacket, akiwa anapata na mkate wake huo ni mlo wa usiku , asubuhi anapiga desh anatafuta ugali wa buku na dagaa mchana, kikubwa asimiss lecture, akomae kwenye group awe msaada mambo yatajiset huko huko
 
Ivi kama Sina wakumkopa nitumie njia gani

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Skia stop whining, kama hauna wa kumkopa nenda chuo, juu kuna mtu alikwambia kaa hosteli kuna Commitment form zinatolewa na chuo wanajazaga watu wasio na ada then boom likitoka utakatwa hiyo laki mbili italipwa ada na uta survive.

usitake maisha expensive kqma hauna uwezo.. maana hata uki appeal hayo majibu hayatorudi kesho jifunze kuwa grateful... always shits zinatokea for some reasons
 

Yeye aende kwa Dean of student wa chuo chake ajieleze mbona rahisi sana hiyo
 
Duuuh Kuna raha gani sasa ya kuwa chuo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Chuo cha ushirika wamesema hakuna utaratibu huo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Mshukuru mungu sana wenzako wana 0% na wamesoma Gvt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…